Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Tatizo siyo spika tatizo ni sisi wenyewe bora afanye hivyo ili mafuvu yafanye kazi, yaani jamii zetu kushindwa kuhoji,(tulio wapa dhamana wataendelea kuahirisha kufikiri kwa nafsi), na tatizo la kuhoji linaanzia kwenye ngazi ya familia hadi limefika kwenye jamii, kila kitu tunategemea serikali hata walikosea Sawa tu tuache kulalamika mfumo tumeupenda wenyewe, someni kuhusu unworking government machineries and ostracism, nawafundisha humu kila siku hamtaki kuzingatiaAkiharibu huku na kule hawawezi mwamini.
Awamu ya majizi tupuNaandika kusikitika na kuonesha kutokuwa na imani na sipika wa JMT.
Sipika anakumbatia wezi na waongo. Sipika anakubali kudanganywa. Waleta ushahidi wanakuwa victim.
Bunge linakuwa la Serikali badala ya Wananchi. Nilitegemea Bashe angekuwa kwenye kamati ya madili ama ameachia ngazi, ila kwa sasabu bunge ni kibogoyo ndio maana hadi sasa yuko anakula kodi zetu.
Nasubiri kitakachojili kisha nianzishe kampeni ya kutokuwa na IMANI NA SPIKA.
Magufuli ndio chanzo Cha bunge letu kuwa kibogoyo. Wakati Magufuli anachezea demokrasia Ili kufanya atakacho mlimuona yuko sawa, Sasa tunakula matunda ya uharibifu wake mnaanz kujiliza.Naandika kusikitika na kuonesha kutokuwa na imani na sipika wa JMT.
Sipika anakumbatia wezi na waongo. Sipika anakubali kudanganywa. Waleta ushahidi wanakuwa victim.
Bunge linakuwa la Serikali badala ya Wananchi. Nilitegemea Bashe angekuwa kwenye kamati ya madili ama ameachia ngazi, ila kwa sasabu bunge ni kibogoyo ndio maana hadi sasa yuko anakula kodi zetu.
Nasubiri kitakachojili kisha nianzishe kampeni ya kutokuwa na IMANI NA SPIKA.
Hawanaga aibu, na ukija uchaguzi wanapora.Hili sakata la sukari CCM wataaibika sana. Sijui watatokea wapi.
Shida yenu mmeshazoea uongozi wa jpm ambaye aliapa kuilinda katiba lakini akawa haiheshimu wala kuocata. Mfano kuzuia mikutano ya siasa ni kinyume kabisa na katiba lakini ingekuwa nchi inauifuata utawala wa sheria angewajibishwa na kuniuzuluWewe una demential si bure huyu betina alikosa uhalali tangu suala la bandari alivyojigeuza wakili wa serikali wewe ulikuwa wapi . Unatakiwa mboko za matako