Kuhusu Luteni feki wa JWTZ: Jeshi liboreshe alama zake zinazoweza kufojiwa kirahisi

Umri kwasasaiv ni uongo nakubishia mpaka mkwani hakuna ltn mwenye umri uho ata wanaopita formsix bado hakuna kuna miaka 3 unataka kuniambia kamaliza formsix akiwa na miaka 17?
 
Ndio maana nikasema mifumo yetu mingi ina madhaifu kibao.Just imagine janja tu wa miaka 24 anaweza kuingia kwenye vyombo ambavyo vimeaminiwa kulinda mipaka ya taifa akajipa manyota,vitambulisho na sare.Huoni kuna shida hapa?

Kwamba hili jeshi ndio wanasema linaweza kulinda mpaka wetu wa Rusumo mtu mrefu asifanye uvamizi au linaweza komboa Bukavu na Goma?
 
Vya MP ni ngumu ila hivi vya askari ata cha mwanafunzi wa mzumbe kizuri ndio maana mimi nalia nasema naomba vibadirishwe kabisa ni aibu sana kutoa kile kitambulisho mbele za watu
Kanyaga twende.🤣🤣
 
Polisi ndio chombo pekee kinacho shuhulika na maswala ya kijamiii kila siku kwa ukaribu mkubwa sana hivyo ni rahisi sana jeshi la polisi kubaini matukio ya namna hiyo kabla ya vyombo vingine
 
Kuna vitu mtu akisha jua kuhus jwtz ni vyepesi kupata nguo izo uwenda alitafuta namba za pale mgulan akapiga simu akajitambulisha wakamuamini wakizituma zile sale na name tage kabisa kutokana na kujua no za maafisa wa jwtz zina anzia vip
Em fafanua zaidi nikuelewee.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Tuashumu umemaliza fomsix na miaka 19, 2025 maana ake 2028 una maliza na miaka 22 Aya TMA mmoja miaka 23 hapa hivi kmehasabu?
 
Kuna mifumo mingi inatakiwa kubadirishwa kabisa iende kisasa zaidi na sio kizamani
Ona hiki ni cha kufoji kabisa we unahishindwa kutengeneza?
View attachment 3239112
Dah kitambulisho kimekaa kama kitambulisho cha shule nliposoma O- level.Shida inaweza isiwe kudhibiti ufyatuaji wa vitambulisho maana hata hiyo tech. tunaweza pata lakini wahuni wakafyatua tu vitambulisho.

Jeshi limejengwa na nguzo ya nidhamu.Kama ukiona hadi janja anapata ujasiri wa kuja na wazo la kujipa cheo cha luteni(cheo ambacho watu wanakimbia ile kozi ya kwanza ya luteni usu(kama sijakosea)) ujue nidhamu jeshini inapotea sasa.

Kwamba JW hawana mfumo wa kutambua maafisa wao wanaograduate mpaka dogo anatumia njia za panya kufanikisha kupata kila kitu cha jeshi?
 
Kinachotolewa baada ya mafunzo kipo original. Changamoto vijana hawana utunzaji kikiharibika wanakimbilia stationery kutengeneza ndipo vinaibuka vingi feki
Aisee sasa Jeshi linakubali kwanini vijana wakatengeneze? Naona hapo ndio kuna tatizo kubwa
Ila ndio Africa, kutokutilia vitu maanani ndio hulka ya viongozi wengi
Yaani mradi liende tu
 
Em fafanua zaidi nikuelewee.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Mfano mtu anataka combat zake zimeisha anataka mpya anaweza kwenda mgulani wanapo uza akamkuta muuzaji akajitambulia labda MT 13……. Muuzaji anajua huyu ni askar akataja na kikos akamuamini baada ya hapo aka akampa nguo au akamuonyesha kitambulisho tu akampa hapo umenielewa
 
Tuashumu umemaliza fomsix na miaka 19, 2025 maana ake 2028 una maliza na miaka 22 Aya TMA mmoja miaka 23 hapa hivi kmehasabu?
Kuna kigezo cha umri sio imradi tu umemaliza six
 
Tuashumu umemaliza fomsix na miaka 19, 2025 maana ake 2028 una maliza na miaka 22 Aya TMA mmoja miaka 23 hapa hivi kmehasabu?
Weka katika mtiririko mzuri hii Miaka na tukio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…