Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #21
Umri kwasasaiv ni uongo nakubishia mpaka mkwani hakuna ltn mwenye umri uho ata wanaopita formsix bado hakuna kuna miaka 3 unataka kuniambia kamaliza formsix akiwa na miaka 17?Huyo inawezekana ni luteni halisi na siyo wa uwongo.Hivi vyombo vinatabia ya kuwakataa watumishi wake endapo akionekana anavunja miiko kazi yake(Sheria za Nchi).Ikitokea amekamatwa na polisi,Cha kwanza wanamwita ni feki lakini wanamalizana nao chini Kwa chini ili kuiepusha taasisi husika kupakwa matope.kwenye kijiwe chetu Cha kahawa mmoja wa member amesema Hivyo.Hoja ya umri kuwa ni mdogo ni dhaifu.