Kuhusu Luteni feki wa JWTZ: Jeshi liboreshe alama zake zinazoweza kufojiwa kirahisi

Kuhusu Luteni feki wa JWTZ: Jeshi liboreshe alama zake zinazoweza kufojiwa kirahisi

Huyo inawezekana ni luteni halisi na siyo wa uwongo.Hivi vyombo vinatabia ya kuwakataa watumishi wake endapo akionekana anavunja miiko kazi yake(Sheria za Nchi).Ikitokea amekamatwa na polisi,Cha kwanza wanamwita ni feki lakini wanamalizana nao chini Kwa chini ili kuiepusha taasisi husika kupakwa matope.kwenye kijiwe chetu Cha kahawa mmoja wa member amesema Hivyo.Hoja ya umri kuwa ni mdogo ni dhaifu.
Umri kwasasaiv ni uongo nakubishia mpaka mkwani hakuna ltn mwenye umri uho ata wanaopita formsix bado hakuna kuna miaka 3 unataka kuniambia kamaliza formsix akiwa na miaka 17?
 
kupata sio ngumu ndio maana kapata kujua zile namba za maafisa na kutengeneza kitambulisho teyari kupata nguo ni vyepesi anaweza jitambulisha kwa mtu au muuzaji pale dukani na waka muamini outokana na mtu kutoweza kukalili namba zote za watu ila ni kujua kuwa namba z askr ni tofauti na za maafisa basi

Kuhusu polisi sio sawa jwtz kuna IO hiyo ni kazi yake pia kutambua watu kama hao matapeli pale simiyu kuna askari pia hawakuwai kukutana nao?
Ndio maana nikasema mifumo yetu mingi ina madhaifu kibao.Just imagine janja tu wa miaka 24 anaweza kuingia kwenye vyombo ambavyo vimeaminiwa kulinda mipaka ya taifa akajipa manyota,vitambulisho na sare.Huoni kuna shida hapa?

Kwamba hili jeshi ndio wanasema linaweza kulinda mpaka wetu wa Rusumo mtu mrefu asifanye uvamizi au linaweza komboa Bukavu na Goma?
 
Juzi hapa kakamatwa kijana aliejifanya kuwa ni officer wa jeshi la JWTZ umri maika 24 kuna vity JWTZ wanatakiwa kubadilisha cha kwanza vitamburisho

Vitambulisho vinavyotumiwa na wanajeshi wa JWTZ bado ni vyepesi mtu kutengeneza waige kutoka usalama wa taifa kile kitambulisho chao mpaka ukitengeneze ni kasheshe sana tofauti na JWTZ ambavyo mtu anaweza enda stationary aka kitengeneza ndio maana wanaibuka vijana wengi wakijifanya ni askari wa JWTZ na kukamatwa

Kingine kitendo cha yule kijana kukamatwa na polisi kwangu naona kama dosari fulani polisi anakuwa wakwaza kupata taarifa uku IO wajeshi wapo ambao walitakiwa kumjua before ya polisi kumjua, hii nitofauti na usalama mtu akijifanya usalama wa taifa kabla ajakamatwa na polisi wao wanakuwa wakwanza kumjua mara nyingi wao ndio wanamjua na wanamshuguhulikia kimya kimya akitoka salama hawezi simulia kilicho mkuta

Bado najiuliza maswali mengi sana ila sipati majibu ila mimi naona shida kubwa ipo kwenye vitambulisho bado nalia hapo ndio naona source watengeneze vitambulisho ambavyo ni thabit na sio hivi ambavyo vimepitwa na wakati waige kama vya usalama

Pia Simiyu yupo mshauri wa jeshi la akiba pale mkoa na wapo wasaidizi wake pia ina maana hawakuwai kukutana na huyu kijana najua askar yoyote wakikutana kuna mambo mkiongea mtajua tu huyu askari miaka 24 anakuwa ltn kaajiliwa lini chuo kaenda lini kamaliza lini na TMA kamaliza lini mh

Muhimbili pia matapeli wanaingia pale kwasababu symbol zao ni nyepesi mfano ukiwa mfanya kazi wa pale ili aingie wordin ni lazima awe na koti jeupe kama hana kitambulisho sasa kwa mfumo uhu amuoni mianya ya kuingiza matapeli ipo wazi kabisa na mtu anaweza akaingia na akamchoma mgonjws sindano ya sumu na akatoka kwasababu symbol zao ni nyepesi sana
Polisi ndio chombo pekee kinacho shuhulika na maswala ya kijamiii kila siku kwa ukaribu mkubwa sana hivyo ni rahisi sana jeshi la polisi kubaini matukio ya namna hiyo kabla ya vyombo vingine
 
Kuna vitu mtu akisha jua kuhus jwtz ni vyepesi kupata nguo izo uwenda alitafuta namba za pale mgulan akapiga simu akajitambulisha wakamuamini wakizituma zile sale na name tage kabisa kutokana na kujua no za maafisa wa jwtz zina anzia vip
Em fafanua zaidi nikuelewee.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Kaka vijana sawa wapo ila umri unakataa ata kama umeingia chomboni ukiwa na elimu ya darasa la saba bado inagoma ata wale formsix wanaoenda kule kumbuka kuna miaka 3 ya kusoma military science bado umri unagoma lazima ukatae kwa miaka 24 pia kuna mwaka mmoja wa pale TMA bado

Kuhus nguo nahisi ni kutokana na kitambulisho uenda alienda kununua izo sare mgulani akaonyesha kitambulisho wakampa au alijitambulisha kwa njia ya simu kuwa p..,,,,,, wakamtambua kuwa ni afisa kumbe sio
Tuashumu umemaliza fomsix na miaka 19, 2025 maana ake 2028 una maliza na miaka 22 Aya TMA mmoja miaka 23 hapa hivi kmehasabu?
 
Kuna mifumo mingi inatakiwa kubadirishwa kabisa iende kisasa zaidi na sio kizamani
Ona hiki ni cha kufoji kabisa we unahishindwa kutengeneza?
View attachment 3239112
Dah kitambulisho kimekaa kama kitambulisho cha shule nliposoma O- level.Shida inaweza isiwe kudhibiti ufyatuaji wa vitambulisho maana hata hiyo tech. tunaweza pata lakini wahuni wakafyatua tu vitambulisho.

Jeshi limejengwa na nguzo ya nidhamu.Kama ukiona hadi janja anapata ujasiri wa kuja na wazo la kujipa cheo cha luteni(cheo ambacho watu wanakimbia ile kozi ya kwanza ya luteni usu(kama sijakosea)) ujue nidhamu jeshini inapotea sasa.

Kwamba JW hawana mfumo wa kutambua maafisa wao wanaograduate mpaka dogo anatumia njia za panya kufanikisha kupata kila kitu cha jeshi?
 
Kinachotolewa baada ya mafunzo kipo original. Changamoto vijana hawana utunzaji kikiharibika wanakimbilia stationery kutengeneza ndipo vinaibuka vingi feki
Aisee sasa Jeshi linakubali kwanini vijana wakatengeneze? Naona hapo ndio kuna tatizo kubwa
Ila ndio Africa, kutokutilia vitu maanani ndio hulka ya viongozi wengi
Yaani mradi liende tu
 
Em fafanua zaidi nikuelewee.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Mfano mtu anataka combat zake zimeisha anataka mpya anaweza kwenda mgulani wanapo uza akamkuta muuzaji akajitambulia labda MT 13……. Muuzaji anajua huyu ni askar akataja na kikos akamuamini baada ya hapo aka akampa nguo au akamuonyesha kitambulisho tu akampa hapo umenielewa
 
Tuashumu umemaliza fomsix na miaka 19, 2025 maana ake 2028 una maliza na miaka 22 Aya TMA mmoja miaka 23 hapa hivi kmehasabu?
Kuna kigezo cha umri sio imradi tu umemaliza six
 
Tuashumu umemaliza fomsix na miaka 19, 2025 maana ake 2028 una maliza na miaka 22 Aya TMA mmoja miaka 23 hapa hivi kmehasabu?
Weka katika mtiririko mzuri hii Miaka na tukio
 
Back
Top Bottom