Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #61
Sikuizi mwisho 28 😂Hivi kwa sisi wenye miaka 30+ tuna ruhusiwa kujiunga regular course?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikuizi mwisho 28 😂Hivi kwa sisi wenye miaka 30+ tuna ruhusiwa kujiunga regular course?
Afande za mchana?Luteni wa umri huo sasa hivi kwa kupitia BMS ni Uongo,
Labda form six aliye wakuchomekewa na Regular.
Hakuna ajabu hivyo vyote FBO vinapatikana si mmeleta Jeshi la Kamlete. 🤣🤣🤣 Hapo kwenye vitambulisho ndio Aibu at least vile vya pili vya MP
Ngoja nifanye hivyo ukiona nipo online usiku jua nilifanikiwa Ila ukiona sipatikani jua nipo na mbio za sebuleni chooniMchele uloweke kama dakika kumi na tano kama utataka kubrand uta fanya ivyo baada ya mchele kuloweka theni kama utataka kutumia nazi basi utachuja nazi yako utaweka jikoni kama una iriki utaweka pamoja na mdalasini kidogo kisha utaacha uive uku unakoraga pole pole pia kama utakosa utataka kutumia maji pia utafanya ivyo
Chenyewe kipoje bwana teethHiki siyo kitambulisho cha Usalama!
Ahhaahah haiwez kukushinda mkuuNgoja nifanye hivyo ukiona nipo online usiku jua nilifanikiwa Ila ukiona sipatikani jua nipo na mbio za sebuleni chooni
Ndio maana mimi nimesema waanze kuboresha hili la kitambulishoSasa mbona ni rahisi kufoji
SawaAhhaahah haiwez kukushinda mkuu
Mwambie akuingize chomboni 😂Afande za mchana?
Leo nimekuota.
Una elimu gani pia kwa umri wakoHivi kwa sisi wenye miaka 30+ tuna ruhusiwa kujiunga regular course?
Afande Sele za mchana mbaya,Afande za mchana?
Leo nimekuota.
Hivi ushaenda kunywa?Afande Sele za mchana mbaya,
Umeniota nakuletea Ulojo na kachori??😋
Kile cha sabaya kiwekwe humu.Kuna yeyote mwenye picha ya kitambulisho cha usalama wa Taifa tuone inafananaje
Kila sicho tena kile ndio fake kabisa hakina uwiano kabisaKile cha sabaya kiwekwe humu.
Unataseka sana mkuu pole ila uko juu nahisi page ya pili kipo fake cha jwtzMnabwabwaja tu picha hamuweki nasi tupande uhondo
Mimi siyapendi Siyataki kwanza. 🥹Hivi ushaenda kunywa?
Basi ninunulie mimi bossMimi siyapendi Siyataki kwanza. 🥹
Unahisi?Unataseka sana mkuu pole ila uko juu nahisi page ya pili kipo fake cha jwtz