Kuhusu Luteni feki wa JWTZ: Jeshi liboreshe alama zake zinazoweza kufojiwa kirahisi

Kuhusu Luteni feki wa JWTZ: Jeshi liboreshe alama zake zinazoweza kufojiwa kirahisi

Luteni wa umri huo sasa hivi kwa kupitia BMS ni Uongo,
Labda form six aliye wakuchomekewa na Regular.
Hakuna ajabu hivyo vyote FBO vinapatikana si mmeleta Jeshi la Kamlete. 🤣🤣🤣 Hapo kwenye vitambulisho ndio Aibu at least vile vya pili vya MP
Afande za mchana?
Leo nimekuota.
 
Mchele uloweke kama dakika kumi na tano kama utataka kubrand uta fanya ivyo baada ya mchele kuloweka theni kama utataka kutumia nazi basi utachuja nazi yako utaweka jikoni kama una iriki utaweka pamoja na mdalasini kidogo kisha utaacha uive uku unakoraga pole pole pia kama utakosa utataka kutumia maji pia utafanya ivyo
Ngoja nifanye hivyo ukiona nipo online usiku jua nilifanikiwa Ila ukiona sipatikani jua nipo na mbio za sebuleni chooni
 
Dogo alijichanganya sana, miaka 24 uwe luteni wa jeshi? Labda ulaya na sio Afrika.
 
Back
Top Bottom