Kuhusu madai ya Mayele kutupiwa majini vs mganga huyu we kienyeji kutoka Kusini mwa Tanzania

This is so deep

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Dah Kumbe😂😁
 
Naomba no, ya huyo mganga
 
Hakika umenena vyema sana mkuu, Mayele alidhani ni uwezo wake ndio umempa umaarufu, kumbe wazee wa ubembe kutoka manyema kigoma na wale wa ubena zomozi zote zikiwa ni kambi za kilozi za wanajangwani ndio waliompa huo umaarufu,!
100% correct
 
Watanzania bwana! Unaandika kwa kujiamini Utadhani unaishi ktk ulimwengu wa roho!
Hakuna cha makini , Mayele Mpira umeisha basi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…