Kuhusu madai ya Mayele kutupiwa majini vs mganga huyu we kienyeji kutoka Kusini mwa Tanzania

Kusema Mayele hakua mshambuliaji hatari ila ni mshambuliaji mwenye mvuto tu sio kweli,labda wewe si mtu wa mpira. Mayele ni Clinical finisher,Mayele ni aggressive striker pale anapokua analiona goli,zaidi Mayele huwezi kudoubt uwezo wake wa ufungaji kwasababu kati ya Chances mbili Mayele atautumia moja vyema au zote.

Nikupe mfano,rejea game na Azam FC kwa msimu jana,pia game na Malumo kule SA. Hizi ni baadhi tu ya game zinazokinzana na maneno yako yako ya kwamba Mayele hakua mshambuliaji/mchezaji hatari.

Nikirudi katika issue ya kusema katupiwa Jini,Yanga na kamati yake ya ufundi kama ni kweli wamefanya hivyo basi sio fair. Kwasababu kama ulifika muda wa mchezaji kuondoka hakukua na haja ya kutafuta namna ya kumuadhibu hata kama hamkufurahishwa na kuondoka kwake.
 
Na hiyo ndio mwisho wake. Kosa la kuoshambulia yangu litamgharimu sana. Sasa keshatoka rasmi kwenye mioyo ya wanayanga na hata akija azam, kila mtu atamdharau.
Yule ni mwanaume mwenzetu yuko pale kutafuta maisha kama wanaume wengine,so sioni sababu ya kumdharau mtu ambae anaifanya kazi yake ili kuilisha familia yake.
Binafsi siwezi kumchukia mchezaji hata akifanya jambo gani, kwasababu mwisho wa siku wote tuko katika kutafuta pesa ili maisha yasonge.

Mwanaume kumchukia au kumdharau mwanaume mwenzio kisa ushabiki wa timu hiyo huwa naona haijakaa sawa,ni upuuzi.
 
Wewe sio shabiki wa mpira
 
Kusema Mayele hakua mshambuliaji hatari ila ni mshambuliaji mwenye mvuto tu sio kweli,labda wewe si mtu wa mpira. Mayele ni Clinical finisher,Mayele ni aggressive striker pale anapokua analiona goli,zaidi Mayele huwezi kudoubt uwezo wake wa ufungaji kwasababu kati ya Chances mbili Mayele atautumia moja vyema au zote.

Nikupe mfano,rejea game na Azam FC kwa msimu jana,pia game na Malumo kule SA. Hizi ni baadhi tu ya game zinazokinzana na maneno yako yako ya kwamba Mayele hakua mshambuliaji/mchezaji hatari.

Nikirudi katika issue ya kusema katupiwa Jini,Yanga na kamati yake ya ufundi kama ni kweli wamefanya hivyo basi sio fair. Kwasababu kama ulifika muda wa mchezaji kuondoka hakukua na haja ya kutafuta namna ya kumuadhibu hata kama hamkufurahishwa na kuondoka kwake.
Wazee wa Yanga hawajamtupia majini ila wameyachukua majini waliyo kuwa wamempa ili aisadie timu so amebaki mweupe kama alivyo kuja.

Hiyo game ya malumo ni kwa sababu tayari alikuwa na confidence ambayo kwa kiasi kikubwa ilisababishwa na kazi ya mikono ya wazee wa Yanga.

kwenye timu yangu ungeniambia kati ya Mayele na Baleke( kabla hajarogwa wakati anaingia Simba) ninge mchukua Baleke kwa sababu Baleke ana uchu na nyavu. Anafunga magoli mengi kwenye moja na anafanya hivyo mara nyingi.

Mayele.alikuwaga na uchu akiwa bado hajafunga goli lakini akisha funga goli tu ana flop.

Halafu unavyo sema Mayele anatumia nafasi vizuri sio kweli. Mayele alikuwa amepoteza nafasi nyingi sana.

Narudia tena Mayele alikuwa ni mchezaji mwenye nyota ya kupendwa tu na sio mchezaji hatari.

Hafikii hata nusu ya Amissi Tambwe.
 
  • Thanks
Reactions: _ly

Ndio
 
Mwamba nimeisoma vizuri walaka wako ni kama kuna ukweli hivi. Hasa eneo la mashabiki.
Pia ni kweli Mayele amekuja kujulikana YANGA. Na YANGA ndio club iliyompandisha Mayele.
Hata views alionao wengi Mayele amewapata alivyokuja Tanzania.

Ni kweli Mayele hakuwa mshambuliaji tishio sana. Ila pale YANGA alikutana na akina Azizi Ki kila wakipata mpira wanaangalia Mayele katulia wapi,lazima wampe pande yeye. Ameenda Piramidi amekutana na mpira tofauti. Kule lazima uonyeshe kipaji chako kwa kujituma mwenyewe. Hakuna mtu atakutafutia mpira ufunge.
Pia alivyokuwa YANGA kila akienda kuchezea anakutana na Shaz ya mashabiki wanamshamgilia.

Ameenda Piramidi anakuta kakuna mashabiki kama wa YANGA. Ukijumlisha hushangikiwi kama ilivyo kuwa YANGA,pia hutengenezewi pasi za mwisho za kufunga kama YANGA.

Lazima ajiulize nimeshika kiwango au ndio mwisho wangu?. Sasa yeye amepata jawabu la kishamba sana kwamba amerogwa. Na hivyo ndio anapotea kimoja.
Naamini anapotea hata club yake sasa wanamuona mswahili tu. Badala ya kuonyesha kiwango uwanjani unaanza kubishana na timu ulikotoka. Unafikiri wenyewe watawaza nini?. Akitoka hapa kumbe anaweza kwenda kutuponda mbele. Kwa kitu alichokikimbilia asitegemee tena kurudi haraka kwenye chat. Ajipange upya. Pia amesahau YANGA ni taasisi kubwa,wamepita akina Mayele wengi. Amepotea sana
 
Back
Top Bottom