Kuhusu madai ya Mayele kutupiwa majini vs mganga huyu we kienyeji kutoka Kusini mwa Tanzania

MAYELE kapigwa na JINNI MAIMUNA{full stop]....
 
Mwanzoni umeandika kama mtaalamu wa mpira baaae paragraph ya mwisho unakubaliana na mambo ya itikadi za majini..wewe ndio bure kabisa kichwa maji
 
Hii nchi tuna safari ndefu sana.

Mwaka 2024 kuna watu wanaamini ushirikina hatari sana.
 
Upo
Ulikuwepo toka tangu na tangu
Ukawepo ukarithishwa vizazi na vizazi
Utaendelea kuwepo
Utakuepo
Bado upo
Unashangaa nini?

Fungua bible ujikemee

Pole kwako Mayele
Nakazia
 
waswahili hawaachagi fursa ambazo wewe huwezi kuziona...atapigwa vitu na makolo lkn huku pia akina mzee wa njiwa,frank yanga na wenzie hawatomuacha salama kwa kudhalilisha klabu yao,kiazi yule kushiney
Atapigwa vibaya sana haijui Tanzania vizuri huyu bwege
 
1)Mayele alikuwa anafunga magoli machache yaliyokuwa yanaamua mechi. Kafunga 1 mechi imeisha 1-0.

Ufalme wa Simba wa miaka 4 ukaondoka

2)Pia alikuwa anafunga magoli magumu sana

Ni kama drogba chelsea alikuwa anafunga magoli sio mengi sana ila ya muhimu sana. Mashabiki wakamkubali sana.

Alikuwa control zipo tofauti na akina Tambwe na Kagere.

Plus ile style ya ushangiliaji ni ya kipekee

DRC LIGI kafunga sana,caf champions league alikuwa na magoli kadhaa na AS Vita

Mayele alipendwa kuliko Kagere na Tambwe kwenye peak zao
Hakupendwa kiuchawi uchawi hata kama uchawi ulihusika ila uwezo binafsi alikuwa nao tangu akiwa AS VITA.

Alikuwa na timu ya taifa drc akatufunga 1 ikaisha 1-1 KWA mkapa vs taifa stars. Goli linafanania na lile dhidi ya Simba ngao ya jamii pasi ya Farid. 1-0
 
Sio kweli
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
mi nashangaa mbona tunatoa sare na kagera kumbe jamaa mmoja kang'ang'ania majini yetu! Ayalete tuwagawie akina MZIZE yatakayobaki tutajaribu kwa GUEDE kama yanapanda au yatagoma kama KONKON
 
Hao wazee watupe mikeka basi
 
UCHAWI NIHOFU KWA ASILIMIA% PASIPO NAHOFU HAKUNA UCHAWI.
UCHAWI HUISHI NDANI YAHOFU.
NANDIO MAANA KUNA DUA MAARUMU ZAKUOMBA MUNGU ATULINDE NA WASI WASI.
OVER...
 
Ina maana Konkoni hakufanyiwa hizo proess kama ilivyokuwa kwa Mayele? Guede vipi? Au tuwe na subira?
 
Kuna mdogo wangu aliwahi kuchezea Yanga miaka ya 80 mwishoni mpaka katikati ya 90, alikuwa ananiambia jinsi wanavyoroga mpaka akawa anaogopa. Akawa ananiambia pale Yanga wachezaji wengi wakistaafu soka wanaishia kuwa wachawi kutokana na kujihusisha na uchawi wakiwa wachezaji. Sitoshanga kusikia mtu kama Ngassa anaruka na kuroha watu hapa nchini.
 
Utamtoa mamaako?. Huo utajiri hata iweje uue ndugu hauwezi kuwa na amani maisha yako yote. Utakuwa kama masikini wa mwisho. Halafu mwisho wa siku lazima akutoe kafara mwenyewe
Huyo jamaa muongo bhn hakuna huyo mganga na ndy maan hajanijibu
 
Yanga wana mashabiku milion 30 we jamaa huonu aibu.
 
Ukiveshwa kuna kuvuliwa pia,
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hata Simba hi hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…