Kuhusu Maridhiano: Kwanza Balozi (CP) Suzan Kaganda awe IGP ndo tukae mezani

Hamna kitu hapo, mnapigiana chapuo kutuhadaa.

Huko Zimbabwe kwenyewe wanapelekwa kama kina Adam Adadi kuwasaidia jamaa zao ZANU-PF kuendelea kutesa wananchi na kushikilia madaraka.
 
Mnaridhiana na nani au nini?

Pelekeni mijadala ya ccm huko kwenye magroup ya ccm.
 
Bado unaweza kujenga hoja bila kutukaana. Lakini kama kutukana kunakuondolea ugumu wa maisha na stress, nakuunga mkono. Bora kutukana kuliko kujinyonga.. Tukana sana mkuu
Binafsi nawaambiaga watu mtu anayeweza tukana hadharani namna hiyo ni wazi hajajifunzia huku mitandaoni, hiyo ni reflection ya makuzi na namna alivyolelewa, so mara nyingi siwalaumu naishia kuwahurumia, na kuiwaza familia iliyomkuza.
 
Mnaridhiana na nani au nini?

Pelekeni mijadala ya ccm huko kwenye magroup ya ccm.
Mwisho wa siku huwezi ishi kwenye nchi isiyo na Polisi... Utake usitake lazima Polisi wawepo? Na watatokana na hawa tulio nao.
 
Kwa hapa tulipofika genetic makeup ya makada wote watiifu wa ccm ni aina moja.

Hata akiteuliwa CP Susan Kaganda hawezi ku challenge status quo. Inahitajika tuanze na Katiba mpya halafu kufumua police yote iwe police service itahitajika training pia na fedha kuweza kubadili mindset za polisi
 
Unayempigia debe inafaa kwanza ututhibitishie sio mwana mtandao na je ni upi uzalendo wake kwa taifa hili? Na kwanini nafasi hizo zisiwe ni nafasi za ushindani kulikana na uwezo wa ujuzi,uadilifu na utendaji wa kizalendo.Na iwe uzalendo wa kitafa na sii uzalendo wa kichawa,kichama au wa kifamilia za wenye mamlaka au wa kiuanamtandao?
 
Kwani kijamaa kina elimu gani?,share nasi tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…