Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Wenzie hua tunaanza kujiandaa na xmas januariMkuu kwa hapa ishukuru serikali maana mshahara wa dec unahudumia vitu vingi bila kusahau ada. Tuanze kujiandaa na sikukuu mapema kujiepushia usumbufu wa reja reja
Zanzibar ni nchi ile!! Tena Islamic State!! Hivyo ina haki ya kujiamulia baadhi ya mambo yake. Sema tu haipati ile heshima yake inayostahili kwa sababu tu ya kupenda kuwa kupe wa Tanganyika.Wakati wa sikukuu ya IDDI kule Zenji mishahara ilitoka tar 14 ili WAISLAMU wajiandae...
Tuliona mbali tukapiga kelele kuwa serikali isiwe na dini,
Lakini watu wakakaza fuvu..
Haya sasa na sisi WAKRISTO tunaomba mshahara mapema ili tujiandae na Christmas
Huyo ni njaa inamsumbua hana cha ufia dini wala nini, ni mfia njaa.Wafia dini mna shida sana
Kuna baadhi ya watu wana chuki za kidini zilizopitiliza kiasi kwamba wanalaumu hata dhiki na njaa zao kwa dini nyingine.Miaka yote mishahara inawahi kabla ya xmass hata mwaka huu itawahi..
Sasa wewe ulipiga kelele zenji ili iweje??
[emoji16][emoji16][emoji16]Sasa serikali ikiambiwa iache doublr standard ndo kuchukia waislam???Kuna baadhi ya watu wana chuki za kidini zilizopitiliza kiasi kwamba wanalaumu hata dhiki na njaa zao kwa dini nyingine.
Point hasa si mishahara hapo, point yake ni kuwa anachukia waislamu.
We endelea kula kimasihara chief. Huko hasa ndio kwenye uelewa wako.[emoji16][emoji16][emoji16]Sasa serikali ikiambiwa iache doublr standard ndo kuchukia waislam???
Kama upo TAMISEM wasiliana na MchengelwaWakati wa sikukuu ya IDDI kule Zenji mishahara ilitoka tar 14 ili WAISLAMU wajiandae.
Tuliona mbali tukapiga kelele kuwa serikali isiwe na dini.
Lakini watu wakakaza fuvu.
Haya sasa na sisi WAKRISTO tunaomba mshahara mapema ili tujiandae na Christmas.
Nashangaa hata mimi[emoji16][emoji16][emoji16]Sasa serikali ikiambiwa iache doublr standard ndo kuchukia waislam???