Kuhusu mishahara wakati wa sikukuu, Serikali iache double standard

We endelea kula kimasihara chief. Huko hasa ndio kwenye uelewa wako.

By the way Zanzibar ina mamlaka yake asitake kumithilisha maamuzi ya huko na ya Tanzania bara.

Apambane na njaa zake aache kuleta visababu.
Anahoji serikali ya zanzibar mkuu...!! Au unaitetea serikali gani???
 
Labda umeajiriwa mwaka huu, hakuna mwaka mshahara ulitoka baada ya X mass
 
Mkuu kwa hapa ishukuru serikali maana mshahara wa dec unahudumia vitu vingi bila kusahau ada. Tuanze kujiandaa na sikukuu mapema kujiepushia usumbufu wa reja reja
Nje ya mada. Samahani na naomba usinielewe vibaya sista, unaishi maeneo gani hapa tanzania?
 
Miaka yote mishahara inawahi kabla ya xmass hata mwaka huu itawahi..

Sasa wewe ulipiga kelele zenji ili iweje??
Tena ajue mshahara huo madogo wanauangalia kwama wao..sare..na makolo yote..kwa kifupi mwezi wa kwanza ni kujiandaa kukaa na chupa ya maji baa kwa saa tatu kwa siku thelathini.
 
Wakati wa sikukuu ya IDDI kule Zenji mishahara ilitoka tar 14 ili WAISLAMU wajiandae.

Tuliona mbali tukapiga kelele kuwa serikali isiwe na dini.

Lakini watu wakakaza fuvu.

Haya sasa na sisi WAKRISTO tunaomba mshahara mapema ili tujiandae na Christmas.
Kutegemea mshahara ni Utumwa wa kifikra...... hakuna mshahara unaotosha...
Ningelikuwa mwenye mamlaka mshahara ni siku ya mwisho wa Mwezi hakuna vya sikukuu wala nini,tena pengine ingelinisaidia sana kuwapunguzia ninaowaongoza kuwa na nidhamu ya matumizi.
 
Huna mamlaka, huna Cheo na probably hata mshahara huna
 
Zenji ni nchi ya kiisilamu.
 
Huna mamlaka, huna Cheo na probably hata mshahara huna
Tetea hoja yako....wenye mshahara unafahamu hawafiki hata million Tano.. wengine unawaweka kwenye kundi gani.. 😜😜😜
Tatizo mkiajiliwa mnasahau ujasiriamali,kilimo na ufugaji....
 
Ni ujinga fikilia kila mtumishi wa uma ewe na vitagauchumi vingine , sasa kama itakua hivi ufanisi ndani ya ofisi anayotumikia utakuaje , huu upumbavu umeanza sio miaka mingi, baada ya watu kwenye ofisi za uma kuwa wezi , mafisadi ili kupata utajiri wa araka.

Enzi za mwalim hukuti ujinga wa namna hii , ndio walikuepo ila walifanya kwa siri sana
 
Kwa hiyo Mtumishi wa Umma yeye kuwa tajiri kupitia vitega Uchumi ni ujinga.....au sijaelewa...
Kwa taarifa yako vitega Uchumi kwa watumishi wa Umma ni njia sahihi ya kutokomeza rushwa...
 
Si walishasema mjiajiri tu sahivi ungekua ushajilipa mwenyewe 🤣
Wakati wa sikukuu ya IDDI kule Zenji mishahara ilitoka tar 14 ili WAISLAMU wajiandae.

Tuliona mbali tukapiga kelele kuwa serikali isiwe na dini.

Lakini watu wakakaza fuvu.

Haya sasa na sisi WAKRISTO tunaomba mshahara mapema ili tujiandae na Christm
 
Wakati wa sikukuu ya IDDI kule Zenji mishahara ilitoka tar 14 ili WAISLAMU wajiandae.

Tuliona mbali tukapiga kelele kuwa serikali isiwe na dini.

Lakini watu wakakaza fuvu.

Haya sasa na sisi WAKRISTO tunaomba mshahara mapema ili tujiandae na Christmas.
Na wasio na mishahara wafanyeje?
 
Kwa hiyo Mtumishi wa Umma yeye kuwa tajiri kupitia vitega Uchumi ni ujinga.....au sijaelewa...
Kwa taarifa yako vitega Uchumi kwa watumishi wa Umma ni njia sahihi ya kutokomeza rushwa...
Rushwa ni tabia ni hulka , mbona wapo watu na mishahara mikubwa, posho n.k na wamewekeza na bado wanakula rushwa, inakera sana kila kuwasema watumish kwamba wasitegemee mishahara , wategemee nini wakati ni chanzo chao cha mapato
 
Kutegemea mshahara ni Utumwa wa kifikra...... hakuna mshahara unaotosha...
Ningelikuwa mwenye mamlaka mshahara ni siku ya mwisho wa Mwezi hakuna vya sikukuu wala nini,tena pengine ingelinisaidia sana kuwapunguzia ninaowaongoza kuwa na nidhamu ya matumizi.
if wishes were horses, beggars would ride
 
Back
Top Bottom