Anahoji serikali ya zanzibar mkuu...!! Au unaitetea serikali gani???We endelea kula kimasihara chief. Huko hasa ndio kwenye uelewa wako.
By the way Zanzibar ina mamlaka yake asitake kumithilisha maamuzi ya huko na ya Tanzania bara.
Apambane na njaa zake aache kuleta visababu.
Nje ya mada. Samahani na naomba usinielewe vibaya sista, unaishi maeneo gani hapa tanzania?Mkuu kwa hapa ishukuru serikali maana mshahara wa dec unahudumia vitu vingi bila kusahau ada. Tuanze kujiandaa na sikukuu mapema kujiepushia usumbufu wa reja reja
Nje ya mada. Samahani na naomba usinielewe vibaya sista, unaishi maeneo gani hapa tanzania?
Tena ajue mshahara huo madogo wanauangalia kwama wao..sare..na makolo yote..kwa kifupi mwezi wa kwanza ni kujiandaa kukaa na chupa ya maji baa kwa saa tatu kwa siku thelathini.Miaka yote mishahara inawahi kabla ya xmass hata mwaka huu itawahi..
Sasa wewe ulipiga kelele zenji ili iweje??
Kutegemea mshahara ni Utumwa wa kifikra...... hakuna mshahara unaotosha...Wakati wa sikukuu ya IDDI kule Zenji mishahara ilitoka tar 14 ili WAISLAMU wajiandae.
Tuliona mbali tukapiga kelele kuwa serikali isiwe na dini.
Lakini watu wakakaza fuvu.
Haya sasa na sisi WAKRISTO tunaomba mshahara mapema ili tujiandae na Christmas.
Huna mamlaka, huna Cheo na probably hata mshahara hunaKutegemea mshahara ni Utumwa wa kifikra...... hakuna mshahara unaotosha...
Ningelikuwa mwenye mamlaka mshahara ni siku ya mwisho wa Mwezi hakuna vya sikukuu wala nini,tena pengine ingelinisaidia sana kuwapunguzia ninaowaongoza kuwa na nidhamu ya matumizi.
Zenji ni nchi ya kiisilamu.Wakati wa sikukuu ya IDDI kule Zenji mishahara ilitoka tar 14 ili WAISLAMU wajiandae.
Tuliona mbali tukapiga kelele kuwa serikali isiwe na dini.
Lakini watu wakakaza fuvu.
Haya sasa na sisi WAKRISTO tunaomba mshahara mapema ili tujiandae na Christmas.
Tetea hoja yako....wenye mshahara unafahamu hawafiki hata million Tano.. wengine unawaweka kwenye kundi gani.. 😜😜😜Huna mamlaka, huna Cheo na probably hata mshahara huna
Ni ujinga fikilia kila mtumishi wa uma ewe na vitagauchumi vingine , sasa kama itakua hivi ufanisi ndani ya ofisi anayotumikia utakuaje , huu upumbavu umeanza sio miaka mingi, baada ya watu kwenye ofisi za uma kuwa wezi , mafisadi ili kupata utajiri wa araka.Tetea hoja yako....wenye mshahara unafahamu hawafiki hata million Tano.. wengine unawaweka kwenye kundi gani.. 😜😜😜
Tatizo mkiajiliwa mnasahau ujasiriamali,kilimo na ufugaji....
Kwa hiyo Mtumishi wa Umma yeye kuwa tajiri kupitia vitega Uchumi ni ujinga.....au sijaelewa...Ni ujinga fikilia kila mtumishi wa uma ewe na vitagauchumi vingine , sasa kama itakua hivi ufanisi ndani ya ofisi anayotumikia utakuaje , huu upumbavu umeanza sio miaka mingi, baada ya watu kwenye ofisi za uma kuwa wezi , mafisadi ili kupata utajiri wa araka.
Enzi za mwalim hukuti ujinga wa namna hii , ndio walikuepo ila walifanya kwa siri sana
Wakati wa sikukuu ya IDDI kule Zenji mishahara ilitoka tar 14 ili WAISLAMU wajiandae.
Tuliona mbali tukapiga kelele kuwa serikali isiwe na dini.
Lakini watu wakakaza fuvu.
Haya sasa na sisi WAKRISTO tunaomba mshahara mapema ili tujiandae na Christm
Na wasio na mishahara wafanyeje?Wakati wa sikukuu ya IDDI kule Zenji mishahara ilitoka tar 14 ili WAISLAMU wajiandae.
Tuliona mbali tukapiga kelele kuwa serikali isiwe na dini.
Lakini watu wakakaza fuvu.
Haya sasa na sisi WAKRISTO tunaomba mshahara mapema ili tujiandae na Christmas.
Rushwa ni tabia ni hulka , mbona wapo watu na mishahara mikubwa, posho n.k na wamewekeza na bado wanakula rushwa, inakera sana kila kuwasema watumish kwamba wasitegemee mishahara , wategemee nini wakati ni chanzo chao cha mapatoKwa hiyo Mtumishi wa Umma yeye kuwa tajiri kupitia vitega Uchumi ni ujinga.....au sijaelewa...
Kwa taarifa yako vitega Uchumi kwa watumishi wa Umma ni njia sahihi ya kutokomeza rushwa...
if wishes were horses, beggars would rideKutegemea mshahara ni Utumwa wa kifikra...... hakuna mshahara unaotosha...
Ningelikuwa mwenye mamlaka mshahara ni siku ya mwisho wa Mwezi hakuna vya sikukuu wala nini,tena pengine ingelinisaidia sana kuwapunguzia ninaowaongoza kuwa na nidhamu ya matumizi.