Kuhusu Muungano: Hawa hapa Jaji Joseph Warioba, Prof. Palamagamba Kabudi (CCM) na Freeman Mbowe, Tundu Lissu (CHADEMA). Tunakwama wapi kuamua?

Kuhusu Muungano: Hawa hapa Jaji Joseph Warioba, Prof. Palamagamba Kabudi (CCM) na Freeman Mbowe, Tundu Lissu (CHADEMA). Tunakwama wapi kuamua?

Again serikali za majimbo za CDM hazifai zitazalisha vuguvugu la utaifa kwenye majimbo yenye jamii moja.
 
Again serikali za majimbo za CDM hazifai zitazalisha vuguvugu la utaifa kwenye majimbo yenye jamii moja.

Sisi Zanzibar kulikuwa na mfumo wetu , tunajua tujiongoze vipi . Muhimu tupate nchi yetu tusitawaliwe tena na Tanganyika , tumechoka . Tunataka kila nchi iende kivyake . Itakavyoamua Chadema au CCM au vyama vyengine ni Tanganyika sisi hayatuhusu
 
Kwa vyovyote iwavyo kwa kizazi chetu cha sasa hakitashuhudia Zanzibar ikiwa huru na kujitawala hata kama wataongoza vyama vya upinzani.
 
Kwa vyovyote iwavyo kwa kizazi chetu cha sasa hakitashuhudia Zanzibar ikiwa huru na kujitawala hata kama wataongoza vyama vya upinzani.

Labda kwa vyama vya upinzani vya bara lakini kwa Zanzibar ni vyengine . Labda CCM iendelee kuuwa watu huku Zanzibar kila uchaguzi kulazimisha kuweka vibaraka vyao madarakani kama kawaida yake.

Huku watu wamechoka ile kuchoka na ndio ukaona wanauliwa watu siku za uchaguzi
 
Prof. Palamagamba Kabudi (CCM): Huyu ni kigeugeu. Huyu Prof. Palamagamba Kabudi wa leo si yule aliyekuwa mjumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba mwaka 2014 chini ya uenyekiti wa Jaji Joseph Sinde Warioba. Ktk video wakati huo anakiri kuwa suluhu ya mgogoro wa muungano wetu ni serikali tatu kama ilivyo kwa Jaji Joseph Warioba . Lakini leo Profesa huyuhuyu kakubali kuuza utu na heshima yake kwa kuwa chawa asiye na msimamo kwa sababu ya njaa ya tumboni mwake na kuikana haki...

Ifike Mahali sasa Kabudi aone aibu. Yaani yeye kama anavyodai ni mtoto wa mchungaji ... halafu tena aliwahi kuwa Mwenyekiti wa UKWATA ... seriously, aone aibu kwa kujifanya ni SPIN Master. Mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa anasema hili leo halafu kesho anasema vingine.
 
Labda ile dawa ya COVID 19 aliyoichukuwa kutoka Madagascar akainywa imeanza kufanya kazi yake 😛 😛 😛
 
Nulichishauri ni kwa sababu Jaj Warioba anaheshimika sio mla rushwa kama wengi wa viongozi wengine ambao wana ndimi mbili lakini pia ni mjengaji hoja mzuri.
Na mimi nimetoa maoni kuhusu ulichoandika bila kujali unamjua au humjui Jaji Warioba.

Hoja yangu imeangalia uzoefu. Ikiwa kuheshimika kwa mzee Warioba kuna athari, hasa kwa viongozi wa CCM, basi ile rasimu ambayo kwa kiwango kikubwa ilidhamiria kuondoa changamoto za muungano, ingepitishwa lkn haikupitishwa na ilikataliwa na hao viongozi wa CCM.

Kwa kulizingatia hilo la historia ndo nikapendekeza mzee Warioba aendelee na kampeni na wananchi, bila kujali misimamo ya vyama, watamuunga mkono kwani kinachotafutwa ni maslahi ya taifa na sio maslahi ya vyama.
 
We kafanye kazi muundo wa muungano haujasababisha umaskini wako huo. Mmezoea ubaguzi wapuuzi nyie nyumbu.
Unamwambia nani kati hao wanne?

Jaji Joseph Warioba au Prof. Palamagamba Kabudi?

Freeman Mbowe au Tundu Lissu?

By the way umeitazama hivyo video kweli na kusikiliza hoja za hao watu wote wanne au umetoka kusikojulikana na kuamua kuandika lolote na chochote kilichokujia kichwani?
 
Labda kwa vyama vya upinzani vya bara lakini kwa Zanzibar ni vyengine . Labda CCM iendelee kuuwa watu huku Zanzibar kila uchaguzi kulazimisha kuweka vibaraka vyao madarakani kama kawaida yake.

Huku watu wamechoka ile kuchoka na ndio ukaona wanauliwa watu siku za uchaguzi
Zanzibar hawajachoka na Muungano ila wamechoka na ccm tu.

Faida za Muungano kwa Zanzibar ni nyingi kuliko Tanganyika.
 
Zanzibar hawajachoka na Muungano
Faida za Muungano kwa Zanzibar ni nyingi kuliko Ta
Labda hi

Faida za muungano ni nyingi nyengine za kuja kuuliwa wakati wa uvchaguzi , kunajisiwa wazee na ndugu zetu wengine kutiwa vilema vya milele
 
Zanzibar hawajachoka na Muungano ila wamechoka na ccm tu.

Faida za Muungano kwa Zanzibar ni nyingi kuliko Tanganyika.

Fiada za muungano kwa zanzibar ni ndogo sana, tatizo huwa mnachanganya maingiliano ya kijamii na muungano, Maingiliano ya kijamii yangelikuepo hata kama Muungano usingelikuepo.
 
Back
Top Bottom