Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Hakutakuwa na kero za Muungano tena.kero zitaondoka au kuzidi zaidi ?? kawaulize WA Ethiopia na Eritrea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakutakuwa na kero za Muungano tena.kero zitaondoka au kuzidi zaidi ?? kawaulize WA Ethiopia na Eritrea
Hakutakuwa na kero za Muungano tena.
Again serikali za majimbo za CDM hazifai zitazalisha vuguvugu la utaifa kwenye majimbo yenye jamii moja.
Kwa vyovyote iwavyo kwa kizazi chetu cha sasa hakitashuhudia Zanzibar ikiwa huru na kujitawala hata kama wataongoza vyama vya upinzani.Sisi Zanzibar kulikuwa na mfumo wetu , tunajua tujiongoze vipi . Muhimu tupate nchi yetu tusitawaliwe tena na Tanganyika , tumechoka . Tunataka kila nchi iende kivyake . Itakavyoamua Chadema au CCM au vyama vyengine ni Tanganyika sisi hayatuhusu
Kwa vyovyote iwavyo kwa kizazi chetu cha sasa hakitashuhudia Zanzibar ikiwa huru na kujitawala hata kama wataongoza vyama vya upinzani.
Prof. Palamagamba Kabudi (CCM): Huyu ni kigeugeu. Huyu Prof. Palamagamba Kabudi wa leo si yule aliyekuwa mjumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba mwaka 2014 chini ya uenyekiti wa Jaji Joseph Sinde Warioba. Ktk video wakati huo anakiri kuwa suluhu ya mgogoro wa muungano wetu ni serikali tatu kama ilivyo kwa Jaji Joseph Warioba . Lakini leo Profesa huyuhuyu kakubali kuuza utu na heshima yake kwa kuwa chawa asiye na msimamo kwa sababu ya njaa ya tumboni mwake na kuikana haki...
Ifike Mahali sasa Kabudi aone aibu. Yaani yeye kama anavyodai ni mtoto wa mchungaji ... halafu tena aliwahi kuwa Mwenyekiti wa UKWATA ... seriously, aone aibu kwa kujifanya ni SPIN Master. Mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa anasema hili leo halafu kesho anasema vingine.
Na mimi nimetoa maoni kuhusu ulichoandika bila kujali unamjua au humjui Jaji Warioba.Nulichishauri ni kwa sababu Jaj Warioba anaheshimika sio mla rushwa kama wengi wa viongozi wengine ambao wana ndimi mbili lakini pia ni mjengaji hoja mzuri.
Unamwambia nani kati hao wanne?We kafanye kazi muundo wa muungano haujasababisha umaskini wako huo. Mmezoea ubaguzi wapuuzi nyie nyumbu.
Zanzibar hawajachoka na Muungano ila wamechoka na ccm tu.Labda kwa vyama vya upinzani vya bara lakini kwa Zanzibar ni vyengine . Labda CCM iendelee kuuwa watu huku Zanzibar kila uchaguzi kulazimisha kuweka vibaraka vyao madarakani kama kawaida yake.
Huku watu wamechoka ile kuchoka na ndio ukaona wanauliwa watu siku za uchaguzi
Zanzibar hawajachoka na Muungano
Faida za Muungano kwa Zanzibar ni nyingi kuliko Ta
Labda hi
Zanzibar hawajachoka na Muungano ila wamechoka na ccm tu.
Faida za Muungano kwa Zanzibar ni nyingi kuliko Tanganyika.
Zanzibar hawajachoka na Muungano ila wamechoka na ccm tu.
Faida za Muungano kwa Zanzibar ni nyingi kuliko Tanganyika.