Kuhusu ndevu ama mavazi, hoja za Butiku ni dhaifu mno

Kuhusu ndevu ama mavazi, hoja za Butiku ni dhaifu mno

Mzee anaishi na akili za enzi za Mwalimu hajui hizi ni nyakati za Gen Z na akili mnemba
Mzee anafikiri yupo kipindi chao kile barua unaandika maneno matatu na kila neno unalipia na inafika baada ya wiki simu anasa smartphone hata ilikua haijulikani radio ipo kwa mwenyekiti wa kijiji stesheni ni moja tu radio Tanzania Dar-es-Salaam unga wa Yanga
 
Watu wanahoji haki ya raia kuchagua viongozi wao, mahakama yenye kutenda haki na watu wasitekwe, Butiku yeye anahoji ndevu!
Butiku hela za kina Abdul zimshamchanganya.

Anachojitoa ufahamu ni kwamba watu wameshafanya assesment zote na wameona bila Jeshi kuingilia kati Nchi ndo inaangamia hii.
 
Nadhani Mzee Butiku kapaniki tu maana anajua mtiti aliokabiliana nao kaka yake mwaka 1964 jeshi lilipoasi.

Lakini hawa hapa ni Wanajeshi mashuhuri kabisa sasa aje hapa Butiku aseme wao kuwa na ndevu ama kuvaa “pull neck” kumewapunguzia sifa gani?

Fidel CastroView attachment 3484097

Paul KagameView attachment 3484098

Assimi Goïta
View attachment 3484099
Butiku kawa mpumbavu kama walivyo mafisadi wenzake.
IMG-20251005-WA0032.jpg
IMG-20251005-WA0031.jpg
 

Attachments

  • 6211101-a7f3bae00d71b0c757817ffdfcdbdba-2.mp4
    15.9 MB
Nadhani Mzee Butiku kapaniki tu maana anajua mtiti aliokabiliana nao kaka yake mwaka 1964 jeshi lilipoasi.

Lakini hawa hapa ni Wanajeshi mashuhuri kabisa sasa aje hapa Butiku aseme wao kuwa na ndevu ama kuvaa “pull neck” kumewapunguzia sifa gani?

Fidel CastroView attachment 3484097

Paul KagameView attachment 3484098

Assimi Goïta
View attachment 3484099
Aisome Hui

CCM wamedata 100%

baada ya Capt Tesha kuzungumza waliibuka na kusema ile ni AI, na wakasema video ile ya Tesha ni uongo mtupu ni ya kutengenezwa hakuna mtu kama huyo

Baadaye wakaona kwamba Capt Tesha anajulikana na sasa kusema ni fake sio rahisi, wakabadilisha na kusema ni mlevi ameshafukuzwa Jeshini, Ukatolewa ushahidi hapa jamaa yuko jeshini ni Active kazini

Mkakimbilia Jeshi kwa kutumia mlinzi wa Magufuli ambaye kwenye maneno ya Tesha anasema Magufuli aliuwawa, sasa inakuwaje anayekuja kujibu Tuhuma kutoka Jeshini ni yule aliyetakiwa kulinda maisha ya Magufuli?

sasa tuambieni, Capt Tesha ni AI, au Mlevi au Video ni fake
kisha mtuambie kwa nini Jeshi linabishana na video ya bandia?
watu wa Samia uwa sifa yao kubwa ni hawana AKILI, ni kama vile Samia awezi chagua mtu mwenye akili kufanya naye kazi, anadili na watu wajinga wajinga tupu.

NO REFORMS NO ELECTIONS.

#kataaWAHUNI
#octobahatutiki
#oktobatunatoka
#sirininamba
#tupowengi
#WenyeNchiWananchi
#TUTAKUWEPO
#Tutaelewanatu

HUYU HAPA
 
Butiku umaarufu wake unaenda kufa baada ya Hero mwingine kuzaliwa.
 
Back
Top Bottom