Kuhusu NHIF

Kuhusu NHIF

Uwe unatimiza ahadi zako
 
Ungeuliza hospitali unayotaka kwenda ndio swali lako lingekuwa na mantiki ujibiwe.
Selian hospital
Aghakhan Hospita
Muhimbili Hospital
Na zote zile ambazo nikubwa nchini unaweza lipa kifurushi hakafu unazuiwa kuitumia wanakubania huitumii kwa raha juzi kuna mtu alinyimwa kwenda selian arusha na ni kifurushi kikubwA
 
Unauwakika upi??
1724819235617.png

Huduma zilirejea kwa mjibu wa barua na utekelezaji unaendelea vyema.

Kwa vituo vingine vya private kuna ups and down, kulingana na mmiliki wa kituo na yatokanayo. Unaweza kupokelewa na kupata huduma kiduchu au mtandao kusingiziwa na usipate huduma au kupata huduma ipasavyo.

Kwa upande wa vituo vya serkali, huduma inapatikana kama kawaida.
 
Selian hospital
Aghakhan Hospita
Muhimbili Hospital
Na zote zile ambazo nikubwa nchini unaweza lipa kifurushi hakafu unazuiwa kuitumia wanakubania huitumii kwa raha juzi kuna mtu alinyimwa kwenda selian arusha na ni kifurushi kikubwA
Muhimbili ni hospitali ya Taifa haitokaa itokee eti wasipokee wanachama wa NHIF, hilo haliwezi kutokea.
 
Back
Top Bottom