SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
WApendwa ni hospitali ngapi kwa sasa zimebaki kuhudumia wagonjwa ukiwa na kadi ya nhif
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AghakhanWApendwa ni hospitali ngapi kwa sasa zimebaki kuhudumia wagonjwa ukiwa na kadi ya nhif
Kwahiyo kadi za NHIF zipo Dar tu?Aghakhan
Muhimbili
Temeke
Mwananyamala
Indumandali
Zahanati za serikali nb dawa hawakupi zaidi ya 3 Cc ephen_
Ungeuliza hospitali unayotaka kwenda ndio swali lako lingekuwa na mantiki ujibiwe.Aghakhan
Muhimbili
Temeke
Mwananyamala
Indumandali
Zahanati za serikali nb dawa hawakupi zaidi ya 3 Cc ephen_
Sijajua mikoani mkuu kama zinafanya kaziKwahiyo kadi za NHIF zipo Dar tu?
Mirembe Hospital.WApendwa ni hospitali ngapi kwa sasa zimebaki kuhudumia wagonjwa ukiwa na kadi ya nhif
Nani unayemjua ambaye atasema ukweli kuhusu hiliSijajua mikoani mkuu kama zinafanya kazi
Unauwakika upi??Ondoa shaka hospitali nyingi zimerejea NHIF ikiwemo Aga khan hospital
Sina watu wa mikoani Mimi nakaa dar es salaam kigamboni Cc ephen_Nani unayemjua ambaye atasema ukweli kuhusu hili
Nmekwambia uondoe shaka unaniuliza tena nna uhakika upi? Unatakaje mkuuUnauwakika upi??
hizo sio.shida zangu ili mradi nimepata msaadaI surrender kabisa
Tofauti ya kuwa msomaji wa jamii forum sintokaaa kuanzisha mada yeyote especially kimapenzi . Nitakuwa na changia mada tena ikinibidi kuna kitu kimenitokea thats why. Good daywww.jamiiforums.com
Uwe unatimiza ahadi zako
Selian hospitalUngeuliza hospitali unayotaka kwenda ndio swali lako lingekuwa na mantiki ujibiwe.
Vingine hustahili kuchekaUnaumwa? Pole
Unauwakika upi??
Muhimbili ni hospitali ya Taifa haitokaa itokee eti wasipokee wanachama wa NHIF, hilo haliwezi kutokea.Selian hospital
Aghakhan Hospita
Muhimbili Hospital
Na zote zile ambazo nikubwa nchini unaweza lipa kifurushi hakafu unazuiwa kuitumia wanakubania huitumii kwa raha juzi kuna mtu alinyimwa kwenda selian arusha na ni kifurushi kikubwA
Eh hayahizo sio.shida zangu ili mradi nimepata msaada