Kuhusu pendekezo la kufuta Mashirika yasiyoleta tija, Rais Samia anapigia mstari tu alichosema Hayati Magufuli

Kichuchunge

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2020
Posts
384
Reaction score
970
"Naamini mwaka huu tutakuwa na ongezeko la Mashirika yanayotoa gawio, Mashirika yasiotoa gawio lazima tutumie sheria kuhakikisha yanatoa au yanaondoka, Msajili wa Hazina simamia hili. Taasisi zote zinazotakiwa kutoa gawio, zifanye hivyo kabla ya mwezi wa saba, haiwezekani hadi Jeshi limetoa gawio wao wasitoe, tena nikiona hata Polisi na Magereza wanatoa gawio, nitafurahi sana

 
Usimlishe maneno Mama Samia yeye amesema Kuna taasisi kazikuta Toka akiwa mtoto anahoji kama Zina tija miaka hii hivyo yafutwe whether yanatoa gawio or not maana hayapo relevant katoa mfano wa NDC ila JPM alisema yasiyotoa gawio ndio yafutwe yaani hata kama hayana tija ila yanaingiza pesa basi yabakizwe ila Yale yenye tija hata kama hayaleti gawio basi yafungwe.

So mmoja ameangalia OUTPUT/PRODUCTIVITY ilihali mwingine aliangalia FAIDA/PROFITABILITY pekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…