Heshima sana wanajamvi.
Nilimsikia Rais wa Kenya Dr W Rutto akihutubia Bunge juu ya ujenzi wa kiwanda cha kuchakata mafuta Jiji Tanga.
Wakati huo huo Rais wa Tanzania akihoji kutokuwa na taharifa ya ujio wa kiwanda hicho katika nchi yake.
Ujenzi wa kiwanda cha kuchakata au kusafisha mafuta ni suala kubwa sana.
Faida zake si haba.
Mosi ni ajira.
Pili uwekezaji wa mtaji mkubwa.
Tatu viwanda vingine ambavyo vitatumia malighafi ya kiwanda cha kusafisha mafuta eg Lami,Mbolea.......
Tatu ukuaji wa haraka sehemu kitakapojengwa kiwanda (Tanga)
Nne mapato kodi na wakaazi wa eneo husika.
Serekali ya awamu ya nne Kikwete ilipambana na Kenya kipindi kile cha ujenzi wa bomba la mafuta ya Uganda.
Kwa hakika kama serekali ingekuwa madarakani kipindi kile bomba lingekwenda Kenya.
Nimejikuta nikisikitika jinsi ambavyo tunachezea fursa adimu.
Tumejikita zaidi kushangilia goli la mama badala ya kujita katika mambo muhimu.
Ngongo kwasasa Mombasa.
Pole sana
Samuya alitaka kikajengwe Zanzibar, haitakii mema Tanganyika yetu, sijui kwanini CCM walituletea huyu kiumbe.Heshima sana wanajamvi.
Nilimsikia Rais wa Kenya Dr W Rutto akihutubia Bunge juu ya ujenzi wa kiwanda cha kuchakata mafuta Jiji Tanga.
Wakati huo huo Rais wa Tanzania akihoji kutokuwa na taharifa ya ujio wa kiwanda hicho katika nchi yake.
Ujenzi wa kiwanda cha kuchakata au kusafisha mafuta ni suala kubwa sana.
Faida zake si haba.
Mosi ni ajira.
Pili uwekezaji wa mtaji mkubwa.
Tatu viwanda vingine ambavyo vitatumia malighafi ya kiwanda cha kusafisha mafuta eg Lami,Mbolea.......
Tatu ukuaji wa haraka sehemu kitakapojengwa kiwanda (Tanga)
Nne mapato kodi na wakaazi wa eneo husika.
Serekali ya awamu ya nne Kikwete ilipambana na Kenya kipindi kile cha ujenzi wa bomba la mafuta ya Uganda.
Kwa hakika kama serekali ingekuwa madarakani kipindi kile bomba lingekwenda Kenya.
Nimejikuta nikisikitika jinsi ambavyo tunachezea fursa adimu.
Tumejikita zaidi kushangilia goli la mama badala ya kujita katika mambo muhimu.
Ngongo kwasasa Mombasa.
Sio kwamba kujenga Refinery Tanga limewakera kidogo...
Tlaatlaah.......hapa awezi pita.... 😀Sio kwamba kujenga Refinery Tanga limewakera kidogo...
Limewakera sana...maana unaenda kuingilia maslai ya waagiza mafuta kutoka...Uarabuni
Heshima sana wanajamvi.
Nilimsikia Rais wa Kenya Dr W Rutto akihutubia Bunge juu ya ujenzi wa kiwanda cha kuchakata mafuta Jiji Tanga.
Wakati huo huo Rais wa Tanzania akihoji kutokuwa na taharifa ya ujio wa kiwanda hicho katika nchi yake.
Ujenzi wa kiwanda cha kuchakata au kusafisha mafuta ni suala kubwa sana.
Faida zake si haba.
Mosi ni ajira.
Pili uwekezaji wa mtaji mkubwa.
Tatu viwanda vingine ambavyo vitatumia malighafi ya kiwanda cha kusafisha mafuta eg Lami,Mbolea.......
Tatu ukuaji wa haraka sehemu kitakapojengwa kiwanda (Tanga)
Nne mapato kodi na wakaazi wa eneo husika.
Serekali ya awamu ya nne Kikwete ilipambana na Kenya kipindi kile cha ujenzi wa bomba la mafuta ya Uganda.
Kwa hakika kama serekali ingekuwa madarakani kipindi kile bomba lingekwenda Kenya.
Nimejikuta nikisikitika jinsi ambavyo tunachezea fursa adimu.
Tumejikita zaidi kushangilia goli la mama badala ya kujita katika mambo muhimu.
Ngongo kwasasa Mombasa.
HahahaUnawezakuta umesoma kile kitabu cha Nyerere fake.
Mkuu sio Mashamba Yule labda kama hujui vizuriJamaa mshamba mshamba.
Hicho Kiwanda kisingetoboa, nilijua tuHeshima sana wanajamvi.
Nilimsikia Rais wa Kenya Dr W Rutto akihutubia Bunge juu ya ujenzi wa kiwanda cha kuchakata mafuta Jiji Tanga.
Wakati huo huo Rais wa Tanzania akihoji kutokuwa na taharifa ya ujio wa kiwanda hicho katika nchi yake.
Ujenzi wa kiwanda cha kuchakata au kusafisha mafuta ni suala kubwa sana.
Faida zake si haba.
Mosi ni ajira.
Pili uwekezaji wa mtaji mkubwa.
Tatu viwanda vingine ambavyo vitatumia malighafi ya kiwanda cha kusafisha mafuta eg Lami,Mbolea.......
Tatu ukuaji wa haraka sehemu kitakapojengwa kiwanda (Tanga)
Nne mapato kodi na wakaazi wa eneo husika.
Serekali ya awamu ya nne Kikwete ilipambana na Kenya kipindi kile cha ujenzi wa bomba la mafuta ya Uganda.
Kwa hakika kama serekali ingekuwa madarakani kipindi kile bomba lingekwenda Kenya.
Nimejikuta nikisikitika jinsi ambavyo tunachezea fursa adimu.
Tumejikita zaidi kushangilia goli la mama badala ya kujita katika mambo muhimu.
Ngongo kwasasa Mombasa.
Heshima sana wanajamvi.
Nilimsikia Rais wa Kenya Dr W Rutto akihutubia Bunge juu ya ujenzi wa kiwanda cha kuchakata mafuta Jiji Tanga.
Wakati huo huo Rais wa Tanzania akihoji kutokuwa na taarifa ya ujio wa kiwanda hicho katika nchi yake.
Ujenzi wa kiwanda cha kuchakata au kusafisha mafuta ni suala kubwa sana.
Faida zake si haba.
Mosi ni ajira.
Pili uwekezaji wa mtaji mkubwa.
Tatu viwanda vingine ambavyo vitatumia malighafi ya kiwanda cha kusafisha mafuta eg Lami,Mbolea.......
Tatu ukuaji wa haraka sehemu kitakapojengwa kiwanda (Tanga)
Nne mapato kodi na wakaazi wa eneo husika.
Serekali ya awamu ya nne Kikwete ilipambana na Kenya kipindi kile cha ujenzi wa bomba la mafuta ya Uganda.
Kwa hakika kama serekali ya awamu ya sita ingekuwa madarakani kipindi kile kwa hakika bomba lingekwenda Kenya.
Nimejikuta nikisikitika jinsi ambavyo tunachezea fursa adimu.
Tumejikita zaidi kushangilia goli la mama badala ya kujikita katika mambo muhimu.
Ngongo kwasasa Mombasa.
Hii serikali inasikitisha na kuabisha saaana!Heshima sana wanajamvi.