Kuhusu umeme tumuamini nani? Maharage au Byabato? Kuna namna hapa

Wizara ya waongo na walaji utaanzaje kuona huyu ni nafuu na huyu hivi..!?

Tukubaliane kwamba, hakuna hata wa kumwamini tangu waziri mpaka kiongozi wa mwisho kabisa...!

Wote ni wale wale, hakuna wa kusikilizwa asemacho!
 
Makamba alituambia tuna ziada ya Mw 1400
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…