View attachment 1355225
Katika miaka ya nyuma brigedia hakua jenerali alikua ni just brigedia ambae ni ekwivalent to SACP (shana). Tofaut ni kua brigedia ni jenero sacp sio genero.(rejea Gorget/patche wanazovaa kene kola ya shati. Ikiwa na tawi huyo ni genero na ni sawa na jenero yeyote duniani. ) ACP ni sawa na Col. maanawanavaa Gorget znavofanana. Pia rejea insgnia ya col. na ACP katika kiambatanisho.
Asante
Sent from my iPhone using JamiiForums
[/QUOTE
Eti zamani bregadia hakuwa jenerali hivi unajitambua au?Umekuja kwa kasi kumbe huna hoja.Hivi unajua hata uvaaji wa vyeo ngao ya taifa (bibi na bwana) katika polisi wanaanza kuivaa kuanzia cheo gani?Na jeshi ni cheo gani wanaanza kuivaa?Eti kamisheni kitu gani? Unajua maaana yake?
Kukusaidia ngao ya taifa polisi anaanza kuivaa kuanzia ACP.Anavaa ikiwa na ngao ambayo yenye bendera ambayo haina bibi na bwana ambayo pia haina pembe za ndovu.Kumbuka hiyo ngao Polisi anaanza kuivaa ikiwa kavu yaani cheo cha mrakibu wa polisi (SP).Baada ya hapo akipanda cheo inaongezeka nyota moja(SSP).Cheo kikipanda ndio inaongezeka ngao kamili ya taifa yenye bibi na bwana(ACP).Unafikiri vyeo vya jeshi ni kama pipi kila mtu anaweza kuimung'unya hata mtoto mdogo.Sisi jeshi letu linafuata mfumo wa uingereza.
Na hata vyeo vya jeshi dunia ni vimoja tofauti ni zile alama tu.Nchi zingine wanafuata mfumo ule ule wa zamani,bregadia jenerali wa jeshi anavaa ngao ya taifa(coat of arms) ikiwa na nyota tatu.
Unajua hata zile alama za mapanga(x) wanazoanza kuvaa majenerali wa jeshi kuanzia bregadia,katika polisi,magereza,uhamiaji na zimamoto ni cheo gani wanaanza kuivaa?
Jibu ni kuanzia kamishina wa polisi.Ili hali katika idara zingine anaitwa kamishina jenerali.Na anakuwa mmoja tu.
Hata idara ya polisi Uganda aliteuliwa mtu kutoka jeshi la ulinzi (UPDF) akiwa na cheo cha meja jenelari akiitwa Kale Kaihula.
Vyeo vya jeshi vinaendana na majukumu pamoja idadi ya askari ambayo afisa anawaongoza.
Na ndio maana hata zilizoendelea idara kama ya fire huitwa Fire brigade.
Hujajiuliza kwanini polisi baada cheo stafu sajenti kinachofuata ni sub inspector wakati katika jeshi kuna baada ya hapo kuna afisa mteule daraja la pili(2nd WO na 1st WO) au tumezoea mtaani kuwaita Sir Major au kolokolo kutokana na vile wanavyovaa zile nembo kama saa katika mkono wa kulia.
Na unajua majukumu yao ni nini hao RSM (Sir Major)katika jeshi?
Na huyo IGP anapokutana na luteni jenerali nani ananza kumpa saluti mwingine?
Na huyo huyo IGP anapokea saluti kutoka kwa makamishina jenerali wa Fire,magereza na Uhamiaji!
Polisi ni kama kamandi ya JKT tu.Ndugu unajua utawala kijeshi ulivyo?Ndio maana Luteni usu wa jeshi hawezi kumpa salute ispekta wa polisi au mrakibu msaidizi (ASP) sio kwamba ni wajeuri kama tulivyo kalili mtaani.
Labda private wa jeshi anaweza kumpa saluti askari polisi mwenye nyota mbili napo kwa sababu hawajui maswala ya utawala.Lakini alitakiwa kumbania mikono tu.Wanajua huwa hawatoi saluti ya kuweka mkono pembeni ya kichwa,na ndio huitwa wanadharau.