Kuhusu utaratibu Brigedia Jenerali na Kamishna Jenerali

Sheria ya nchi kupitia kanuni ya Adhabu (penal code) Tayari imewalinganisha hao askari katika mamlaka Sheria hiyo ni ya bunge sheria yeyote ikipingana na sheria ya bunge basi sheria hiyo haitatumia sasa Penal code imefafanua kupitia kifungu hiki. 77. Any magistrate or, in his absence, any police officer of or
above the rank of inspector» or any commissioned officer in the
military forces of the United Republic, in whose view twelve or
more persons are riotously assembled, or who apprehends that a
riot is about to be committed by twelve or more persons assembled
within his view, may make or cause to be made a proclamation
in the president's name, in such form as he thinks fit, commanding
the rioters or persons so assembled to disperse peaceably

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuuu acha kupotosha uma. rejea rank insgnia zilizokua zikitumiwa zaman kabla ya mabadiliko zilikua znafanana. IGP ni ekwivarent kwa lt gen. Hata majina yanaendana inspekta jenero huku luteni jenerali. Enzi izo kabla ya insgnia mpya za jwtz na TPF walikua wakivaa sawa na IGP alivaa insgnia sawa na LT GEN. Rejea kiambatanisho kwa rahis ya rejea. NB kamisheni haina lolote katika ulinganifu wa vyeo. nawasilisha kwa hatua zako.



Sent from my iPhone using JamiiForums
 


Katika miaka ya nyuma brigedia hakua jenerali alikua ni just brigedia ambae ni ekwivalent to SACP (shana). Tofaut ni kua brigedia ni jenero sacp sio genero.(rejea Gorget/patche wanazovaa kene kola ya shati. Ikiwa na tawi huyo ni genero na ni sawa na jenero yeyote duniani. ) ACP ni sawa na Col. maanawanavaa Gorget znavofanana. Pia rejea insgnia ya col. na ACP katika kiambatanisho.

Asante



Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Mkuuu naunga mkono hoja. Kapata kamishen sio ww ndo bora. Lt. na inspekta ni kitu kimoja mambo ya kamisheni ni utaratibu wa utendaji majukumu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Katika mijadala yote ya kijeshi humu kuhusu vyeo mpwa ndio umemaliza atakae kuja kukupinga kwa maandiko haya akalete maandiko yake

kilicho akilini kitumie
 
 
Mkuuu naunga mkono hoja. Kapata kamishen sio ww ndo bora. Lt. na inspekta ni kitu kimoja mambo ya kamisheni ni utaratibu wa utendaji majukumu


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ume mnukuu KOLOKOLONI,na kuunga mkono hicho kifungu umesoma vizuri ujue tafsiri yake?Naanza na huu mstari kunukuu "any police officer of or above the rank of INSPECTOR".or any commissioned officer in the military forces of the united republic"Nimemaliza,sasa jiulize na utafakari "above the rank inspector" ni nani?Jibu ni kuanzia polisi mwenye nyota tatu(ASP) na kuendelea.Sasa katika military forces afisa mwenye kamisheni ni kuanzia nyota moja.

Chambilecho waswahili,'akili za kuambiwa changanya na zako".

Hiyo quote niliyokujibu hapo juu nenda Ku -expand kuna maelezo mengi nimekupa kukusaidia wewe na wengine,huwa sipendi maelezo mengi kuyaandika.

Asante.
 
Katika mijadala yote ya kijeshi humu kuhusu vyeo mpwa ndio umemaliza atakae kuja kukupinga kwa maandiko haya akalete maandiko yake

kilicho akilini kitumie
Kabisa ndugu tena watafute na wanasheria wa kutafsiri maana sheria ina ufundi wake wa kuandika na kuzingatia nukta,koma n.k.
 
Wew ndio hukuelewa hzo or ,of,any wakat gani na mahali gani hutumika na kwa maana ipi

kilicho akilini kitumie
 
Ndugu comrade huo ulinganifu umeutoa kwenye muongozo upi? tafadhali nijulishe. Lakini nakushauri usome Police general order kuhusu vyeo na seniority utapata mwanga mkubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kweli una busara na una lengo la kujifunza.Kulingana na mafunzo yanayotolewa na kifungu kilichotajwa na KOLOKOKOLONI pia rejea ibara ya 148 ya katiba tuliyonayo sasa.
 
Umekula maharage ya wapi wewe!!

Kuanzia IGP akawa meja General

IGP ni Inspector General siyo Meja General

Acha upotoshaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekula maharage ya wapi wewe!!

Kuanzia IGP akawa meja General

IGP ni Inspector General siyo Meja General

Acha upotoshaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo umemaliza shule!!!unaelewa nilicho andika?Hivi hata mitihani huwa unasoma maelekezo kabla hujajibu!?Au umeiba simu ya shemeji yako ili uingie jamii forum?
 
77. Hakimu yeyote au, kama hayupo, afisa wa polisi wa au aliye juu ya
cheo cha mkaguzi au akida wa jeshi la vita la Jamhuri ya Muungano,
atakayeona watu kumi na mbili au zaidi wamekusanyika kwa ajili ya
ghasia ana wasiwasi kuwa ghasia inataka kufanywa na watu kumi na mbili
au zaidi, au anaweza kutoa au kutolesha ilani kwa jina la Rais, kwa namna
atakayoona yafaa, kuwaamrisha wafanyaji ghasia hao au watu
waliokusanyika watawanyike kwa amani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyeo vya Tanapa ni Ceremonial tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemaliza ndugu na asomaye afahamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…