Kuhusu utaratibu Brigedia Jenerali na Kamishna Jenerali

Ni Rais, hatuna mttu yeyote anayeitwa rais au kiumbe aliye mbinguni anayeitwa mungu, hapana. Mbinguni kuna Mungu
 
Mnabahati leo simu nilikuwa nayo mbali kidogo nilitaka niwaonyshe jinsi heshima inavyokuwa huyu luten usu wa mwenge alivyonyoosha mkono na kuukunja kwa insp wa polisi hapa mwenge karibu kabisa na kibanda changu Cha kuuza urembo ndio mngeelewa kuwa kuwa commissioned Ni mambo ya kiutawala na sababu tangu miaka hyo walikuwa wakisoma siasa monduli kwa maana wanaweza kuwa appointed cheo chochote Cha kisiasa na ndio karibu wote wakistaafu wanarud siasani refer makamba,kinana,kikwete balele,nnauye na wengneyo

kilicho akilini kitumie
 
KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA IBARA YA 147INASEMA
147.-(1) Ni marufuku kwa mtu yoyote au shirika lolote au
kikundi chochote cha watu, isipokuwa Serikali kuunda au
kuweka Tanzania jeshi la aina yoyote.
(2) Serikali ya Jamhuri ya Muungano yaweza, kwa mujibu
wa sheria, kuunda na kuweka Tanzania majeshi ya aina
mbalimbali kwa ajili ya ulinzi na usalama wa nchi na wananchi
wa Tanzania.
(3) Itakuwa ni marufuku kwa mwanajeshi yeyote kujiunga na
chama chohote cha siasa, isipokuwa tu kama atakuwa na haki
ya kupiga kura iliyotajwa katika ibara ya 5 ya Katiba hii.
(4) Kwa madhumuni ya ibara hii, "mwanajeshi" maana yake
ni askari aliyeajiriwa kwa masharti ya muda au ya kudumu
katika Jeshi la Ulinzi, Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza au Jeshi
la Kujenga Taifa

SASA HAO WANAOSEMA NANI NI BORA NANI NI MDOGO WANAYATOA WAPI. FIKIRI KWA KINA. Kumbuka Rais amewekwa na katiba na katiba ndiyo inanena hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu kipengele muhimu cha OF OR ni muhim sana katika tafsiri ya iyo sheriaa. Nawasilisha. Ktika PGO inspekta msaidiz na inspekta kamili wametambiliwa kama wakaguzi na inspekta jenerali kama mkuu wa jeshi.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Acha stori za kutunga,halafu kuwa commissioned officer katika majeshi ni mfumo wa dunia nzima iwe USA,UK n.k.Tusilete ushabiki na ndio maanaa Rais akamteua Brig Gen kuwa kamishina mkuu wa magereza.Kama maada hapo juu inavyosema na hakukosea kwa sababu ana washauri na ulinganifu wa vyeo kama nilivyofafanua.

Sasa kwa taarifa yako IGP anampigia saluti mnadhimu mkuu wa JWTZ ambaye ni Luteni jenerali.
 
Sio story bado unaendelea na huu mjadala mm nilishafunga teyar huna kipya Cha kusema private kasome Tena sheria zenu za kijeshi tatizo mnafundishwa nyiny ndio Bora kushinda majeshi mengne mkiwa koz kumbe hakuna chochote

kilicho akilini kitumie
 
Sio story bado unaendelea na huu mjadala mm nilishafunga teyar huna kipya Cha kusema private kasome Tena sheria zenu za kijeshi tatizo mnafundishwa nyiny ndio Bora kushinda majeshi mengne mkiwa koz kumbe hakuna chochote

kilicho akilini kitumie
Sawa constable kumbe ndio mnavyofundishwa CCP au mkienda barracks kule Kilwa road kwamba mnalingana kivyeo na JWTZ nimemaliza ngoja niendelee kuokota chupa zangu za maji.

Akili ya kuambiwa changanya na yako.
 
Sawa constable kumbe ndio mnavyofundishwa CCP au mkienda barracks kule Kilwa road kwamba mnalingana kivyeo na JWTZ nimemaliza ngoja niendelee kuokota chupa zangu za maji.

Akili ya kuambiwa changanya na yako.
Sihusian na ushenz ushenz wa majeshi na hata watoto nilishawaambia asiingie huko Mana watakuwa na akil mbovu Kama zako

kilicho akilini kitumie
 
Mmmh Trump ana PhD kweli?
PhD ya nini?
THE POLICE FORCE AND AUXILIARY SERVICES ACT
[PRINCIPAL LEGISLATION
ADMINISTRATION AND DUTIES OF THE FORCE

3. The Police Force of the United Republic shall be established and
constituted in accordance with this Act.
4. The Force shall consist of such members of the following ranks
as the President may direct, in the following order of seniority–
Gazetted Officers -

Inspector-General
Commissioner
Deputy Commissioner
Assistant Commissioner
Senior Superintendent
Superintendent
Assistant Superintendent

Inspectors–
Inspector-
Assistant Inspector

Non-Commissioned Officers–
Sergeant Major
Staff Sergeant
Sergeant
Corporal
Constables–
Constable
Recruit
Police Cadet

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  1. Honorary Doctor of Law Liberty University
  2. Honorary Doctor of Buisness Administration - Robert Gordon U (Scotland) revoked
  3. Honorary Doctor of Laws - Lehigh
  4. Honorary Doctor of Humane Letters - Wagner
  5. Honorary Doctor of Business -Liberty
Kumbe zile za heshima kama za akina Dr.Kikwete.

Inabidi tumuite Dr.Trump hakuna namna mkuu.
 
Hapo kama unasema Kanali ni sawa na DCP.

Tafuta clip youtube uone KAMISHNA ANDENGENYE ...RC Kigoma anampigia saluti KANALI wa JESHI ambaye ni Mkuu wa Wilaya moja huko kigoma..jina nimeisahau ila clip ipo youtube.
 
Polisi jeshi lote ni kamisheni kasoro NCO tu. Pia nyota tatu kuemdelea ni gazeted ofisaz na komishen ofisa. Kuanzia inspekta mpka igp wote ni maafisa wa kamisheni. Ndo maana kuna majeshi yanpolisi nchi za watu yanaitwa police kamishen. Hakuna popote sheria au muongozo umeongelea kamishen ofisa,bali ameingelewa NCO tu. Kwaiyo ukiwatoa hao NCO hao wote waliobaki ni maafisa wa kamishen
 
Tunaposema jeshi kamili ,jeshi la polisi siyo ARMED FORCE wala magereza wala uhamiaji Armed force ni moja tu. TANZANIA PEOPLES DEFENCE FORCE. ILI jeshi liwe jeshi lazimaliwe na mizinga na vikosi vingine vya kiueledi tanks ,and so on , vitu hivi viko TPDF tu. lazima tuelewe hivi vitu.
 
Nashukuru kwa kuniunga mkono kiuweredi mike.
 

"Jeshi ni jumla ya watu wanaopewa mamlaka ya kutumia nguvu ya silaha kutetea nchi kwa niaba ya dola au kutekeleza maagizo ya serikali"

Iyo ndo maana halisi ya Jeshi.
Pia Armed Forces ni majeshi yenye uhalali wa kutumia silaha aijalishi ni silaha za aina gani.

Sasa we endelea kupingana na dikshonari na katiba
 
noted mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…