Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Yaan kwamba una Jeshi la Polisi, Una TISS , lkn bado Wananchi wako wanatekwa kwa sababu za Mapenzi na Kishirikina
Yaan kwa Chande yeye, Ukitekwa kisa Mapenzi, au ushirikina , aaahhhhhh ni sawa tu bana
Kama sio kuvivua Nguo Vyombo vya Ulinzi ni nini Chande anajaribu kusema??.
Chande wewe ni Mpuuzi tu !!.
Wanatekwa Mapdre, Polepole, na Watanzania wéngi.
Wapumbavu wa Jeshi la Polisi wakaja na
-Aahh ni Mapenzi
-Aahh ni Ushirikina
-Aahh ni sababu za Uchumi, madeni n.k
Anakuja Kubwa Chande, naye anasema
Aahhh ni Mapenzi
Aahhhhh ni Ushirikina
WATU WAJINGA, WAJINGA, HUWA NI NGUMU SANA KWAO KUJA NA MAPYA.