Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Udikteta ni akili na mbinu?MTU kama amekutawala over 60 yrs unamuhitaje mjinga maana yake kakuzidi akili na mbinu
Hii ndio reflection ya Mahakama zetu zina ongozwa na watu wa aina gani!! Kama hii ni ripoti ya Majaji wakuu wawili una tegemea nini hao wanao waongoza wako je??Yaan kwamba una Jeshi la Polisi, Una TISS , lkn bado Wananchi wako wanatekwa kwa sababu za Mapenzi na Kishirikina
Yaan kwa Chande yeye, Ukitekwa kisa Mapenzi, au ushirikina , aaahhhhhh ni sawa tu bana
Kama sio kuvivua Nguo Vyombo vya Ulinzi ni nini Chande anajaribu kusema??.
Chande wewe ni Mpuuzi tu !!.
Wanatekwa Mapdre, Polepole, na Watanzania wéngi.
Wapumbavu wa Jeshi la Polisi wakaja na
-Aahh ni Mapenzi
-Aahh ni Ushirikina
-Aahh ni sababu za Uchumi, madeni n.k
Anakuja Kubwa Chande, naye anasema
Aahhh ni Mapenzi
Aahhhhh ni Ushirikina
WATU WAJINGA, WAJINGA, HUWA NI NGUMU SANA KWAO KUJA NA MAPYA.
Wanatekwa matajiri wa mataifa ya dunia ya kwanza sembuse sisi makapuku wa TZ!.Yaan kwamba una Jeshi la Polisi, Una TISS , lkn bado Wananchi wako wanatekwa kwa sababu za Mapenzi na Kishirikina
Yaan kwa Chande yeye, Ukitekwa kisa Mapenzi, au ushirikina , aaahhhhhh ni sawa tu bana
Kama sio kuvivua Nguo Vyombo vya Ulinzi ni nini Chande anajaribu kusema??.
Chande wewe ni Mpuuzi tu !!.
Wanatekwa Mapdre, Polepole, na Watanzania wéngi.
Wapumbavu wa Jeshi la Polisi wakaja na
-Aahh ni Mapenzi
-Aahh ni Ushirikina
-Aahh ni sababu za Uchumi, madeni n.k
Anakuja Kubwa Chande, naye anasema
Aahhh ni Mapenzi
Aahhhhh ni Ushirikina
WATU WAJINGA, WAJINGA, HUWA NI NGUMU SANA KWAO KUJA NA MAPYA.
Nadhani watu bado hamjayaelewa mahesabu ya hao mazafakas. Wanachokusudia ni kubadilisha sura ya lawama.Yaan kwamba una Jeshi la Polisi, Una TISS , lkn bado Wananchi wako wanatekwa kwa sababu za Mapenzi na Kishirikina
Yaan kwa Chande yeye, Ukitekwa kisa Mapenzi, au ushirikina , aaahhhhhh ni sawa tu bana
Kama sio kuvivua Nguo Vyombo vya Ulinzi ni nini Chande anajaribu kusema??.
Chande wewe ni Mpuuzi tu !!.
Wanatekwa Mapdre, Polepole, na Watanzania wéngi.
Wapumbavu wa Jeshi la Polisi wakaja na
-Aahh ni Mapenzi
-Aahh ni Ushirikina
-Aahh ni sababu za Uchumi, madeni n.k
Anakuja Kubwa Chande, naye anasema
Aahhh ni Mapenzi
Aahhhhh ni Ushirikina
WATU WAJINGA, WAJINGA, HUWA NI NGUMU SANA KWAO KUJA NA MAPYA.
Gentleman,Yaan kwamba una Jeshi la Polisi, Una TISS , lkn bado Wananchi wako wanatekwa kwa sababu za Mapenzi na Kishirikina
Yaan kwa Chande yeye, Ukitekwa kisa Mapenzi, au ushirikina , aaahhhhhh ni sawa tu bana
Kama sio kuvivua Nguo Vyombo vya Ulinzi ni nini Chande anajaribu kusema??.
Chande wewe ni Mpuuzi tu !!.
Wanatekwa Mapdre, Polepole, na Watanzania wéngi.
Wapumbavu wa Jeshi la Polisi wakaja na
-Aahh ni Mapenzi
-Aahh ni Ushirikina
-Aahh ni sababu za Uchumi, madeni n.k
Anakuja Kubwa Chande, naye anasema
Aahhh ni Mapenzi
Aahhhhh ni Ushirikina
WATU WAJINGA, WAJINGA, HUWA NI NGUMU SANA KWAO KUJA NA MAPYA.
Maoni ya wananchi gani? Asilimia kubwa (90+) ya hao waliohojiwa na hiyo tume ni wana CCM. Sasa hapo unataajia nini?Gentleman,
ripoti ya jaji chande ni pure maoni ya wananchi wa maeneo mbalimbaili nchini, acha upotoshaji nonsense plz
peleka ramli na porojo zako nonsense kwa wafuata mkumbo wenzako gentleman,Maoni ya wananchi gani? Asilimia kubwa (90+) ya hao waliohojiwa na hiyo tume ni wana CCM. Sasa hapo unataajia nini?