Mbishi 4 real
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 640
- 651
Kwa hiyo madeni yooooote yatakokotolewa upya?VRF ama Value retention fee ni gharama za kulinda thamani ya pesa ya mkopaji ambaye ni mwanafunzi. Gharama hii inatozwa pindi mdaiwa anapopitisha kipindi cha marejesho mara baada ya kuhitimu. Kwa kesi ya HESLB walikua wanatoza kiwango cha asilimia sita (6%) kwa kila mdaiwa.
Hivyo basi baada ya tamko la Mh. Rais siku ya Mei mosi, tozo hiyo imetolewa na itafanya wadaiwa wote kulipa kiasi kile kile walichonufaika wakati wa maombi
apa naona mil 32 nitalipaVRF ama Value retention fee ni gharama za kulinda thamani ya pesa ya mkopaji ambaye ni mwanafunzi. Gharama hii inatozwa pindi mdaiwa anapopitisha kipindi cha marejesho mara baada ya kuhitimu. Kwa kesi ya HESLB walikua wanatoza kiwango cha asilimia sita (6%) kwa kila mdaiwa.
Hivyo basi baada ya tamko la Mh. Rais siku ya Mei mosi, tozo hiyo imetolewa na itafanya wadaiwa wote kulipa kiasi kile kile walichonufaika wakati wa maombi
Umejibu vyema ila bado hujakata kiu ya muuliza swali. Je kwenye slip yake pataonekana badiliko lolote? Au itaendelea kupungua vilecile tu kama ambavyo ilikuwa?VRF ama Value retention fee ni gharama za kulinda thamani ya pesa ya mkopaji ambaye ni mwanafunzi. Gharama hii inatozwa pindi mdaiwa anapopitisha kipindi cha marejesho mara baada ya kuhitimu. Kwa kesi ya HESLB walikua wanatoza kiwango cha asilimia sita (6%) kwa kila mdaiwa.
Hivyo basi baada ya tamko la Mh. Rais siku ya Mei mosi, tozo hiyo imetolewa na itafanya wadaiwa wote kulipa kiasi kile kile walichonufaika wakati wa maombi
Kwamba shukuruni kwa kila jambo? Magufuli na wasaidizi wake nadhani wangeongea makato mpaka 18%Tunamshukuru sana Mungu kwa Magufuli kufa kwani yote haya tusingeyapata.
Nasubiri jibu la hili swaliNa waliomaliza watarudishiwa...?
Mbona nahisi umechanganya...VRF ama Value retention fee ni gharama za kulinda thamani ya pesa ya mkopaji ambaye ni mwanafunzi. Gharama hii inatozwa pindi mdaiwa anapopitisha kipindi cha marejesho mara baada ya kuhitimu. Kwa kesi ya HESLB walikua wanatoza kiwango cha asilimia sita (6%) kwa kila mdaiwa.
Hivyo basi baada ya tamko la Mh. Rais siku ya Mei mosi, tozo hiyo imetolewa na itafanya wadaiwa wote kulipa kiasi kile kile walichonufaika wakati wa maombi. Kama ulikopa shilingi milioni 5, utarejesha milioni 5 hiyo hiyo bila gharama za ziada.
Ni hivi hyo 6% ndo ilikuwa value retention fee ambayo ndo imeondolewa na hyo 10% ni adhabu ya kupitisha miezi 24 bila kulipa for now utalipa ulichokopeshwa.Mbona nahisi umechanganya...
Ile 10% ya adhabu ni nini?
Ile inayoongezeka 6% kila mwaka ni nini?
Maana deni lilikua kila ikibadilika mwaka lina panda...
Yaani ulifunga na 100,000/= utashangaa unafungua financial yr na 160,000/=
#YNWA
VRF ama Value retention fee ni gharama za kulinda thamani ya pesa ya mkopaji ambaye ni mwanafunzi. Gharama hii inatozwa pindi mdaiwa anapopitisha kipindi cha marejesho mara baada ya kuhitimu.
Kwa kesi ya HESLB walikua wanatoza kiwango cha asilimia sita (6%) kwa kila mdaiwa.