Kuhusu wachaga na wanawake wa kasikazini wote kwa ujumla

Kuhusu wachaga na wanawake wa kasikazini wote kwa ujumla

The Dojin

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2026
Posts
437
Reaction score
782
Wakuu

Binafsi nimeona kwenye mitandao ya kijamii baadhi ya wanawake wa kichaga na kasikazini kwa ujumla wakishambuliwa na kutukanwa kwa tabia zao kwanza sio wote wenye tabia hizo na kwa ujumla tu mimi binafsi niseme tu wanawake wakichaga ni pisi kali acha tu zituue
 
Hakuna jamii isiyopenda mali acheni kupakaza wenzenu uwongo
 
Back
Top Bottom