Ila ni wazuri sidhani kama wanabadili majinaKama huwa wanabadilisha majina yao wakifika mikoa mingine,ni muda mzuri kwao kubadilisha na kabila.
Wengi wanaohama kwao na kuzamia mikoa mingine hasa kwenye kazi za uhudumu wa "vinywaji" huwa wanabadili majina.Wengi tu.Ila ni wazuri sidhani kama wanabadili majina
Wazuri wa niniIla ni wazuri sidhani kama wanabadili majina
Ni pisi kali pia tusisahau hiloWachagga ni washamba wa Mali Na pesa+laana,sio wanaijua pesa kuliko makabila mengine