Kimpyempye
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 723
- 1,157
Katibu wa CWT amesema uongo. Amewadanganya walimu kwa maslahi yake binafsi. Hii habari ya kupanda madaraja kwa mserereko haipo. Hakuna kitu kama hicho. Kama kuna mtu anabisha basi asuburi ataniambia. Uzuri ni kwamba huu uzi unaishi. Deus Seif amesema uongo,na Walimu kama wangekuwa serious hii kauli ya Seif ndiyo ilikuwa kitanzi chake cha kumfutilia mbali kwenye chama kwa sababu amewadanganya walimu na kuwajaza matumaini ambayo hayapo.