Intake ya 2012 imepanda daraja 2016 ikapokonyonywa baada ya miezi miwili,ikapanda 2017
Intake ya 2013 imepanda daraja 2019
Intake 2014 imependa daraja na ya 2015 mwaka 2020
Kupanda daraja/cheo kwenye ualimu ni hisani/zawadi pale mwajiri atakapojisikia,hii inashusha morali ya uwajibikaji.
Uliyemtangulia kwenye ajira 1_2years unalingana nae cheo au mnapata cheo kwa wakati mmoja hii sio sawa,inakatisha tamaa na kudharau seniority maofisini,aliyetumikia serikali 2yrs atafananaje na aliyemuacha kitaa miaka miwili nyuma![emoji24]
Mchawi wa elimu yetu ni Sera,miundombinu/mazingira inapotolewa elimu na maslahi duni kwenye kada ya ualimu.