Kimpyempye
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 723
- 1,157
Uzuri ni kuwa UZI huu utadumu kama katibu CWT taifa amedanganya muda utasema.Katibu wa CWT amesema uongo. Amewadanganya walimu kwa maslahi yake binafsi. Hii habari ya kupanda madaraja kwa mserereko haipo. Hakuna kitu kama hicho. Kama kuna mtu anabisha basi asuburi ataniambia. Uzuri ni kwamba huu uzi unaishi. Deus Seif amesema uongo,na Walimu kama wangekuwa serious hii kauli ya Seif ndiyo ilikuwa kitanzi chake cha kumfutilia mbali kwenye chama kwa sababu amewadanganya walimu na kuwajaza matumaini ambayo hayapo.
Wako pia walipewa barua 2016 wakala mshahara wa miezi miwili kisha wakashushwa wakaja kupanda 2017 hao nao watahusika na mserereko?Kwanza nichukue fursa hii kuipongeza serikali ya mhe Samia Suruhu Hassan kwa kujali na kusikiliza kero mbalimbali za walimu.Lakini pia nikipongeze Chama Cha walimu Tanzania CWT kwa yale mliyoafikiana na serikali.
Hoja yangu ni hii CWT imesema serikali imeridhia kuwapa madaraja ya Mseleleko walimu takribani elfu 50,hawa ni wale waliopaswa kupanda madaraja 2016/2017, ni jambo jema na la kupongezwa.
Lakini serikali na CWT wasisahau kuna walimu waliopaswa kupanda madaraja mwaka 2018 hawakupanda badala yake walikuja kupandishwa mwaka 2021, yaani takribani miaka Saba wametumikia cheo kimoja mfano halisi ni watu waliopanda daraja mwaka 2015 mara ya mwisho wamekuja kupandishwa tena mwaka 2021.
Kwa maoni yangu CWT na Serikali wanapaswa kuwajali watumishi hao pia.
Kwani mkuu hao wa daraja mserereko unaowazungumzia ni wale waliotakiwa kupanda 2017 ila badala yake wakapanda 2019?Kuna mdau humu kipindi anachangia post hii kasema Katibu wa CWT taifa ndugu Desu Seif amedanganya hakutakuwa na madaraja ya Mseleleko.Mimi nasema tusubili tuone maana Muda utasema Ukweli na subira ya vuta hari.
Wanapanda madaraja mwezi gan?Watumishi wengine kwa mfano idara ya afya halmshauri fulani wao wameambiwa kuwa watapanda .Maafisa utumishi wamejenga hoja kwa katibu mkuu utumishi watu hao walidhurumiwa hivyo wamepewa kibari
hakuna mtu mwenye uhakika ni mtumishi yupi anastahili kupanda madaraja ya mserereko kila mmoja anahisi tu.Kwani mkuu hao wa daraja mserereko unaowazungumzia ni wale waliotakiwa kupanda 2017 ila badala yake wakapanda 2019?
Mama huwa anapitia Mitando ya Kijamii atalichukua hili kwa uzito maalumu na kuwakabidhi wasaidizi wake.Kwanza nichukue fursa hii kuipongeza serikali ya mhe Samia Suruhu Hassan kwa kujali na kusikiliza kero mbalimbali za walimu.Lakini pia nikipongeze Chama Cha walimu Tanzania CWT kwa yale mliyoafikiana na serikali.
Hoja yangu ni hii CWT imesema serikali imeridhia kuwapa madaraja ya Mseleleko walimu takribani elfu 50,hawa ni wale waliopaswa kupanda madaraja 2016/2017, ni jambo jema na la kupongezwa.
Lakini serikali na CWT wasisahau kuna walimu waliopaswa kupanda madaraja mwaka 2018 hawakupanda badala yake walikuja kupandishwa mwaka 2021, yaani takribani miaka Saba wametumikia cheo kimoja mfano halisi ni watu waliopanda daraja mwaka 2015 mara ya mwisho wamekuja kupandishwa tena mwaka 2021.
Kwa maoni yangu CWT na Serikali wanapaswa kuwajali watumishi hao
Hongera yao wengine wa 2014 tumepanda 2021Mkianza kusema hivyo basi kuna wa 2014 ambao walikuja kupanda kwa mara ya kwanza 2019 BADALA ya 2017, nao wapate la mserereko ili hali itendeke sawa!
Eh, si mchezo......unajikuta unafanana na aliyeanza juzi tu.Hongera yao wengine wa 2014 tumepanda 2021
Walimu mnatumika sana..na wameshawaona kama mazuzu vile..na tarehe moja mtavaa sare zenu na kuimba mapambio mbele ya chief hangaya.Juzi Jenister ameongea. Nani amemsikia akitaja habari za mserereko?Katibu wa CWT ajiandae kuondoka kwa kashfa ya kuwadanganya Walimu.
Hapo sasa atapata aibu kibwaJuzi Jenister ameongea. Nani amemsikia akitaja habari za mserereko?Katibu wa CWT ajiandae kuondoka kwa kashfa ya kuwadanganya Walimu.