Kuhusu walimu kupanda madaraja kwa Mseleleko

Huu ni Ukweli mtupu Mimi nazani wanatakiwa kufanya self regulation ndani kwa ndani Kwenye mfumo ili Kila mmoja apate haki yake na stahili zake kama alivyoitumikia serikali
 
Mseleleko au mserereko?
Vyovyote vile.Hoja ya msingi ni kwamba iwe 'mseleleko ' ama ' mserereko' hiyo kitu haipo.Kuendelea kuisubiri kwa matumaini ni sawa na kuendelea kusubiri tunda la embe chini ya mti wa mpapai.
 
Cha maana ni kuongeza mshahara kwanza! ongezeko LA mshahara kwa kupanda daraja kwa Mara ya kwanza ni dogo mno! Ni aibu hata kuweka wazi ni sh ngapi huongezeka kwa kupanda daraja kwa Mara ya kwanza!
 
Kuishi kwa matumaini ilisaidia! Labda mwakani utapanda wapi!! Hivyo hivyo kwa miaka mitano hadi tukastaafu! Ongezeko LA mwisho lilikuwa 2014 na ndiyo ilikuwa mwisho wa ajira za Walimu za kupangwa walimu wote. Kwa hilo nampongeza sana Kikwete.
 
Pole sana mkuu?
Vipi kiinua mgongo walishakupa?
Kuishi kwa matumaini ilisaidia! Labda mwakani utapanda wapi!! Hivyo hivyo kwa miaka mitano hadi tukastaafu! Ongezeko LA mwisho lilikuwa 2014 na ndiyo ilikuwa mwisho wa ajira za Walimu za kupangwa walimu wote. Kwa hilo nampongeza sana Kikwete.
 
Baadhi ya Halmashauri intake za 2013, 2014 na 2015 wote wamepanda daraja C mwaka jana 2021 kwa hisani ya SSH
 
Jamani wale waliopata daraja mseleleko waje hapa ku testify ni wa intake ipi maana naona ma mbo yapo jikon next month july 22 come here and testify clearly maana wengine 2015 mara 2014 mara 2015 na 14
 
Huyo seif amewadanganya walimu hata wakati wa uwasilishaji wa bajeti zote za wizara hakuna mahali popote ambapo kuna waziri alisema kuna watumishi watapandishwa madaraja mawili kama alivyokuwa anapiga domo huyo jamaa ambae kwa makusudi aliwapa matumaini hewa walimu elfu 50kwamba watapandishwa madaraja mawili yaani moja la kawaida lingine la mseleleko kama pole ya kupokonywa daraja la mwaka 2016 .Seif Mungu anakuona lazima utubu kwa kuwaaminisha walimu uongo kwa maslahi yako binafsi na kachama kako ka cwt
 
Je hii haiwahusu WATUMISHI wa kada NYINGINE??
 
Muhuni kama wahuni wengine tu.

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
 
Muda ni mwalimu mzuri madaraja ya mseleleko yaonekane mwezi wa Saba penye Ukweli uongo hujitenga
 
Muda ni mwalimu mzuri madaraja ya mseleleko yaonekane mwezi wa Saba penye Ukweli uongo hujitenga
Hapo umenena ,good mm nitakuja kuuliza hapa hapa ,japo harufu ya mseleleko nimeisikia marakadhaa
 
Huu ndo ukweli unaouma.Nao hao waliopaswa kupanda 2018 wawape haki yao.

Na wengi ni ajira ya 2015 apmbao walipaswa kupanda 2018 but hawakupanda mpaka 2021.

Inasikitisha na kukatisha tamaa kwa watumishi hao.
Kuna watu humu ndani kutwa kucha wanalisifie lile dubwasha ambalo nilishindwa hata tu kuheshimu sheria.za kazi za kupandisha watu madaraja
 
HAO watakaopanda 2016/2017 ni ajira ya mwaka GANI?halafu kwa sheria ya miaka mingapi mitatu au minne kazini!??maana kuna sheria mbili Hadi Sasa za kupanda madaraja!!ile ya zamani miaka mitatu na ile ya jiwe miaka minne Sasa ipi ni ipi!!
Daah kumbe watumishi wanasota,, mishara yao Ni kiduchu alafu wakaongezewa na muda wa kupandishwa daraja kutoka miaka mitatu Hadi miaka minne [emoji848]

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…