Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Ujinga tu ...Mimi nilikuwa kazini mbunge akatoa mabasi watu waende ...wafanyakazi wote naowafahamu walioenda walikufa ..eti waliacha dawa zao wengi walikuwa na kisukari, moyo n.k wengine Ngoma .... Viliibuka vikombe vingivingi sana .... Wabongo sisi ni wajinga sana....Nilikuwa nipo sijui kidato cha ngapi ila Bwenini kila mtu alitaka aende mana kuna wapumbavu walisema kinaongeza memory.
Huyo wa sukari alikuwa anatafuta sababu tu ya kuwahi ahera mana majibu yake aliyapata ndani ya siku 2 tu.Ujinga tu ...Mimi nilikuwa kazini mbunge akatoa mabasi watu waende ...wafanyakazi wote naowafahamu walioenda walikufa ..eti waliacha dawa zao wengi walikuwa na kisukari, moyo n.k wengine Ngoma .... Viliibuka vikombe vingivingi sana .... Wabongo sisi ni wajinga sana....
Leo hii mkongwe umekuwa wa kuja😄😄😄Hawa viazi niliwaonya wakaniita wakuja🚮
Wapumbavu...ndiyo matokeo ya yale matoto mpumbavu yanayo sema bora unitukanie baba yangu kuliko mama yangu...View attachment 3462944
Kwani kipindi kile kulikuwa na jambo gani mpk watanganyika tuingizwa kwenye huu mtego.
Humu kuna wakubwa walio wahi kujoin jf kipindi hiko.
Watanganyika wajinga sana
watanganyika tuingizwa kwenye huu mtego.
Humu kuna wakubwa walio wahi kujoin jf kipindi hiko
Haukuwa na access ya magazeti tu au ulikuwa mdogo ila picha ilisambaa SanaHii ni AI
Kama niliwahi kusema hivi wakuu naombeni msamaha.😆😆😆Wapumbavu...ndiyo matokeo ya yale matoto mpumbavu yanayo sema bora unitukanie baba yangu kuliko mama yangu...
Bado tuna nafasi japo mda upo mchache tu.Mpaka sasa tunaendelea kudanganyika,maana kuna washenzi na wachumia tumbo wanaamini kwamba bibi chura makengeza wa kizimkazi anapendwa sana na ataleta maendeleo tukimpa miaka yake mitano atuongoze"wadanganyika" UPUMBAVU ULIOKUWEPO KIPINDI HICHO NDIO UNA REFLECT KIZAZI CHA SASA" yaani sisi ni majuha to ze maximum [emoji16]
Nalikuwa nayaona vzuri tu ila nilikuwa na deal sana na MwanasportHaukuwa na access ya magazeti tu au ulikuwa mdogo ila picha ilisambaa Sana
Sitaki hata kukumbukaNa kumbuka Rostam Aziz, aliita press na kutuonya kuhusu huyo Babu wa kikombe kuwa ni tapeli.
Lakini wa TZ hawakumsikia, mpaka pale walipojionea wenyewe.
Hiyo ilikuwa ni project ya jk kuwa pumbaza wadaganyika na issues ya escrow, Richmond, iptl.Sitaki hata kukumbuka
Waliopona ni wengi sana, wadhungu walitia sumu ile miti ya babu mwasapileView attachment 3462944
Kwani kipindi kile kulikuwa na jambo gani mpk watanganyika tuingizwa kwenye huu mtego.
Humu kuna wakubwa walio wahi kujoin jf kipindi hiko.