Ukiwa na mawazo mafupi lazima uingia road ukawe panyabuku. Wazee kama hao ni wale walioona maeneo nje miji bei affordable wakang'ania cheap Life.
Mathalani. Ukitoka nje ya mji ukanunua maeneo, ukaweka kijibanda vyumba viwili ukaanzisha mifugo, kuku, mbuzi nk kilimo Cha hapa na pale.utaingiaje road Kupiga pachuu??
Makosa mengine tunayaanzia mbali Sana. Kila jambo litakupa jibu uzeeni. Nashamgaa Sana. Hata kwenye siasa. Wazee kwenye siasa. Wamekosa kuwekeza, ukikuta Mzee mbishi kwenye politics amekuwa mpigaji na ufujaji. Mzee kama Pinda PM mstaafu analima, anafuga,Makamba na maneno yake, Mzee wetu anafuga nk hutawakuta kwenye siasa. Angalia kina kitila mkumbo, Tena profrsa. Jamani hakikisha umesoma, hujasoma unawekeza kwenye kesho yako uzeeni. Mifanomichache tu hiyo lkn IPO mingi. Tujifunze