concious mind
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 1,003
- 617
Character assassination kama kawaida , jadiri hoja achana na mtoa mada.Bodaboda ni kazi kama kazi nyingine mbona huongelei walimu na madaktari wazee, siajabu hako kasalari kako unakoingiza hakafikii kipato cha huyo mzee
Umewaza vyema wapo watakaopinga na wapo watakao support ni kawaida hatufananai.Habari!
Binafsi ninapomwona bodaboda mtu mzima mwenye miaka 50-60 napata mshituko kidogo na kuanza kuiogopa kesho yangu.
Najiuliza maswali yafuatayo;
1. Kayumba ukumbwani mpaka kaamua kuingia kwenye kazi za vijana wanaoishi vijiweni kutwakutwa kwa utani na matusi?
2. Atafanya hiyo kazi mpaka lini, na siku akiacha ataenda kufanya kazi gani?
3. Je, Mimi nikiyumba uzeeni nitafanya kazi gani?
NJE YA MADA
Vijana tijifunze kuwekeza kwenye shughuli ambazo zitaleta matunda baadaye na si kuangalia leo tu.
... ni sawa ila kuna kundi fulani lina-fit zaidi kwenye hiyo kazi. Ni sawa na una 35+ uka-apply kazi ya jeshi au polisi; automatically at that age ni unfit. Kuna kazi nyingi duniani umri ni kigezo muhimu.Bodaboda ni kazi kama kazi nyingine mbona huongelei walimu na madaktari wazee, siajabu hako kasalari kako unakoingiza hakafikii kipato cha huyo mzee
Ukiwa na mawazo mafupi lazima uingia road ukawe panyabuku. Wazee kama hao ni wale walioona maeneo nje miji bei affordable wakang'ania cheap Life.Habari!
Binafsi ninapomwona bodaboda mtu mzima mwenye miaka 50-60 napata mshituko kidogo na kuanza kuiogopa kesho yangu.
Najiuliza maswali yafuatayo;
1. Kayumba ukumbwani mpaka kaamua kuingia kwenye kazi za vijana wanaoishi vijiweni kutwakutwa kwa utani na matusi?
2. Atafanya hiyo kazi mpaka lini, na siku akiacha ataenda kufanya kazi gani?
3. Je, Mimi nikiyumba uzeeni nitafanya kazi gani?
NJE YA MADA
Vijana tijifunze kuwekeza kwenye shughuli ambazo zitaleta matunda baadaye na si kuangalia leo tu.
Kuna watu wanaleta ubishi kwenye huu Uzi.Ukiwa na mawazo mafupi lazima uingia road ukawe panyabuku. Wazee kama hao ni wale walioona maeneo nje miji bei affordable wakang'ania cheap Life.
Mathalani. Ukitoka nje ya mji ukanunua maeneo, ukaweka kijibanda vyumba viwili ukaanzisha mifugo, kuku, mbuzi nk kilimo Cha hapa na pale.utaingiaje road Kupiga pachuu??
Makosa mengine tunayaanzia mbali Sana. Kila jambo litakupa jibu uzeeni. Nashamgaa Sana. Hata kwenye siasa. Wazee kwenye siasa. Wamekosa kuwekeza, ukikuta Mzee mbishi kwenye politics amekuwa mpigaji na ufujaji. Mzee kama Pinda PM mstaafu analima, anafuga,Makamba na maneno yake, Mzee wetu anafuga nk hutawakuta kwenye siasa. Angalia kina kitila mkumbo, Tena profrsa. Jamani hakikisha umesoma, hujasoma unawekeza kwenye kesho yako uzeeni. Mifanomichache tu hiyo lkn IPO mingi. Tujifunze
Kwani bodaboda si ni ajira kama zingine? Unajua mwenye boda anayemiliki chombo anapata kiasi gani kwa siku. Hivi unajua kama mshahara wa mwalimu grade A haumfikii boda?
Kila kitu kinatengemea ume spendi vipi. Hata hao bodaboda wengi wanajenga ingawa Jenga yao ni ya vyumba viwili tu. Tena choo Cha shimo. Usisahau ni wanaujua kuwekeza.... ni sawa ila kuna kundi fulani lina-fit zaidi kwenye hiyo kazi. Ni sawa na una 35+ uka-apply kazi ya jeshi au polisi; automatically at that age ni unfit. Kuna kazi nyingi duniani umri ni kigezo muhimu.
To be honest wazee ni madereva wazuri Sana, kama mtakumbuka wazee wetu walikuwa madereva wamabas ya abiria. Hawa kama mfumo ndivyo ungekuwa unawasajili wazee pekee ingekuwa biashara sahihi na ya uhakika, watoto Hawa kwenye zebra imergine watu wanapita magari yamesimama boda akupitia sikio, utasikia tu whaaa! Amepita. Lkn sio biashara ya vijana Wala wazee, ni usafiri wa abiria wasio na hatia wanaowahi mishe zao...Kuna watu wanaleta ubishi kwenye huu Uzi.
Kutoka kwenye bodaboda wazee wao wamekuja kujumuisha kazi mzima ya bodaboda.
Hivi ni kweli kuna mtu humu atafurahi siku baba yake mzazi akimwambia mwanangu ninunulie pikipiki niwe bodaboda?
Kwani bodaboda si ni ajira kama zingine? Unajua mwenye boda anayemiliki chombo anapata kiasi gani kwa siku. Hivi unajua kama mshahara wa mwalimu grade A haumfikii boda?
Ajira ni nini kwani?Acha utani bodaboda sio ajira
Ajira ni ajira hata madaktari kuna wale wanafanya ajira yao kwenye mazingira mazuri na wengine duni.Bodaboda sio ajira kama ajira nyingine.
Bodaboda ni ajira duni.
Hapa ndio tofauti ya watu weuzi na wale wenye rangi unaiona, weusi nyie ni wabaguzi sana sasa kumbuka umri ni namba na as long mtu ananguvu kidogo ataendelea kupiga kazi. Changamoto ni life expectancy ni ndogo mno wachache tu ndio wanatoboa 50Habari!
Binafsi ninapomwona bodaboda mtu mzima mwenye miaka 50-60 napata mshituko kidogo na kuanza kuiogopa kesho yangu.
Najiuliza maswali yafuatayo;
1. Kayumba ukumbwani mpaka kaamua kuingia kwenye kazi za vijana wanaoishi vijiweni kutwakutwa kwa utani na matusi?
2. Atafanya hiyo kazi mpaka lini, na siku akiacha ataenda kufanya kazi gani?
3. Je, Mimi nikiyumba uzeeni nitafanya kazi gani?
NJE YA MADA
Vijana tijifunze kuwekeza kwenye shughuli ambazo zitaleta matunda baadaye na si kuangalia leo tu.
Kazi ambayo unakufa dakika yoyote?Bodaboda ni kazi kama kazi nyingine mbona huongelei walimu na madaktari wazee, siajabu hako kasalari kako unakoingiza hakafikii kipato cha huyo mzee
Una uhakika?Mwenzako kwa siku hakosi 20,000 na kuendelea.
20,000 ×30=600,000
Hyo kazi Ina hela Kama ni boda yako
Tumbie kwanza wewe ajira yako ni ipi na kipato chako ni kipi kwa mwezi?Bodaboda sio ajira kama ajira nyingine.
Bodaboda ni ajira duni.