Elections 2015 Kuibuka na Kuzama kwa Julius Mtatiro

Elections 2015 Kuibuka na Kuzama kwa Julius Mtatiro

Huyu ni mwanasiasa wa aina ya Nape. Aina ya chama alicho hawezi kusurviva labda abadili upepa.
 
Huyu jamaa ni jembe hasaa,sema hajapata nafasi sahihi ambayo anatakiwa awe.SALUTE TO HIM
 
Hivi karribuuni atakuja act karibu kamanda mtatiro uje ugombee ubunge tarime kupitia act
 
Maliza shughuli za masomo urudi ulingoni MTATIRO we ni zaidi ya jembe usijali kelele na kejeli za magamba.
 
Hili jembe lililokua linachipukia limepotea ghafla kama ilivyokua kwa majembe mengine ya kaliba yake kupitia bendera ileile...........kulikoni?

Acha unafiki wa kipare mbona bado yuko safi?
 
Jamaa alienda chama ambacho kinaogopa wasomi, lazima utimuliwe tu.
Mi nilimshangaa 2010 anagombea ubunge Ubungo badala ya kwenda hata ukonga au Segerea
 
Jamaa alienda chama ambacho kinaogopa wasomi, lazima utimuliwe tu.
Mi nilimshangaa 2010 anagombea ubunge Ubungo badala ya kwenda hata ukonga au Segerea
ana haki ya kugombea popote
 
Back
Top Bottom