Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,541
- 2,187
Hacha azame tu maana hanisaidii kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo! Nimeona makala yake kwe.ye gazeti la mwananchi.
Niulize hivi aliwahi kusaliti?
Hili jembe lililokua linachipukia limepotea ghafla kama ilivyokua kwa majembe mengine ya kaliba yake kupitia bendera ileile...........kulikoni?
Kwani u-dr lazima usome ndiyo uupate? Mbona wengine kila siku kwenye ndege lakini wamepata hadi u-prof?Mtatiro anasoma jamaaa anataka aitwe dr mtatiro
Tusubili sasa amehamayupo anaandika makala za uchambuzi wa siasa.