Isaya Nehemia
JF-Expert Member
- Jun 6, 2013
- 555
- 452
Usituletee maswala ya Bunge hapa wakati mmegoma kuwasilisha mkataba kwenye Kamati ya BungeHapo miwani ya mbao, Magufuli and his team siyo watu wa kubadiri gia angani, anafanya kazi kwa data, the matter still on Bunge's, naamini na yeye anachunguza - give him time.
Mh rais hawezi kuingilia kati kabla vyombo husika havijamaliza kazi ,maana PAC ndo ilifuatilia kuhusu huu mkataba ,so lazima asubili maamzi ya PAC kabla ya ku-step in.Watoto yatima hawakupenda kuwa hivyooooo..... kabla hujafa hujaumbika ..
Fikiria kwanza kabla ya kutumia mifano yako..
Sasa wewe uko kwenye familia ya mbowe utamkuta anae kubali utendaji wa magu kweli?sijaona hata raia unaosema wanamkubali magufli namba zake za kukubalika zimeshuka sana baada ya kuchagua mabishoo wapiga dili kama akina Muhongo Mwigulu January Makamba Nape, Jenestina Mhagama and so fourth kwa kweli hana nyimbo wamebaki wapiga mapambio tu
Rais Magufuli atafumua mfumo mzima. CCM imezaliwa upya baada ya mafisadi kuwajibishwa
tumempata sokoine Wa kichinaKwa tuhuma hizi nzito nilitarajia kusikia watu fulani wamesimamishwa au teuzi zao zimetenguliwa ila cha ajabu bado wako ofisini alafu tunaambiwa tumempata Sokoine!!!
mkuu ilitakiwa vitendo vichukuliwe haraka kama ambavyo vimechukuliwa kwa watu na matukio mengine has hata kapress ka kinafiki.Salary Slip mbona unaongea kama umeachishwa kunyonya jana? CAG ameliibua, kamati ya Bunge inafuatilia ukweli wake kufahamu mkataba unasema nini hasa, nini kimekosewa nini kimepatiwa na nani wahusika. Sasa wewe mbona unataka kuvuka mto kabla haujaufikia. Punguza ashki za chuki na subiri kila mamlaka ifanye kazi yake, huo ndio uawala wa sheria, huwezi kuingilia jambo
linaloshughulikiwa na Bunge. Bunge litatoa mapendekezo kama ilivyofanyika kwa Richmond na Escrow. Kama tunataka tukosoe kwa weledi basi angalau tuzifahamu taratibu zinasemaje na tusitake yatokee yanayotokana na ashki zetu.
Naona unanifanyia hasira mimi, unadhani serikali inaendeshwa kwa kuzungusha mikono? Nenda kachukue basi - iwapo haumwamini mwakilishi wako "bunge"Usituletee maswala ya Bunge hapa wakati mmegoma kuwasilisha mkataba kwenye Kamati ya Bunge
Bunge sio chombo cha uchunguzi cha serikali. Hiyo kazi inapaswa kufanywa na TAKUKURU, ila Bunge huingilia kati pale ambapo serikali imeshindwa au haitaki kuchukua hatua kama msimazi wa serikali (complimentary). Tangu lini Bunge ikaachiwa kuchunguza makosa ya jinai? Mbona wale wabunge waliotuhumiwa kwa rushwa wamefunguliwa mashtaka wakati Bunge nalo lina utaratibu wa kuwawajibisha wabunge?Mh rais hawekufanyailia kati kabla vyombo husika havijamaliza kazi ,maana PAC ndo ilifuatilia kuhusu huu mkataba ,so lazima asubili maamzi ya PAC kabla ya ku-step in.
Jombaaaa! Tulia.Mungu ana makusudio kwa watu wake waliokuwa wameanza kulishwa matango pori kupitia vyombo vya habari kuwa amepatika malaika tena mtenda haki asiyestahili hata kukoselewa na ukimkusoa wewe si mzalendo bali una wivu tu na chuki dhidi yake.
Tumeaminishwa haangali sura,hana chama,anasimamia haki,hamuogopi mtu, n.k na zaidi tumuombe kwa mungu.
Hata hivyo,limeibuka jambo ambalo litawasaidi wengi kama si wote kujua ukweli halisi kuhusu mtu huyu na kama kweli anafanya mambo yanayostahili yeye kuombewa.
Mungu aliona asisubiri sana maana watu wake wanazidi kupotea.
NB: Kupitia mungu huyo huyo,vice versa is also true.
Tusubiri.
Ashki hata wewe unazo, acha kushauka. Kuna watu waliwekwa kizuizini immediately baada ya mambo yao kuibuliwa ili wasitoroke, je hawa hawawezi kutoroka?Salary Slip mbona unaongea kama umeachishwa kunyonya jana? CAG ameliibua, kamati ya Bunge inafuatilia ukweli wake kufahamu mkataba unasema nini hasa, nini kimekosewa nini kimepatiwa na nani wahusika. Sasa wewe mbona unataka kuvuka mto kabla haujaufikia. Punguza ashki za chuki na subiri kila mamlaka ifanye kazi yake, huo ndio uawala wa sheria, huwezi kuingilia jambo linaloshughulikiwa na Bunge. Bunge litatoa mapendekezo kama ilivyofanyika kwa Richmond na Escrow. Kama tunataka tukosoe kwa weledi basi angalau tuzifahamu taratibu zinasemaje na tusitake yatokee yanayotokana na ashki zetu.
Elewa hivi, "Bunge sio chombo cha uchunguzi cha serikali katika makosa ya jinai bali hiyo kazi hufanywa na polisi na TAKUKURU kwa mujibu wa sheria. Bunge huingilia tu kati kama msimamizi wa serikali pale ambapo serikali imeshindwa au haitaki kuchukua hatua ndo maana Bunge hutoa maazimio kuilazimisha serikali kuchukua hatua. Hata huo uchunguzi wa Bunge hauwezi kutumika dhidi ya mtuhumiwa mahakamani ni kwa ajili tu ya Kamati kujiridhisha na ubadhilifu ili kutoa mapendekezo ili kupeleka bungeni kwa ajili ya maazimio ya Bunge. Kwa hiyo hapo unamaanisha kwamba serikali inasubiri maazimio ya Bunge ndo ichukue hatua?Naonserikaifanyia hasira mimi, unadhani serikali inaendeshwa kwa kuzungusha mikono? Nenda kachukue basi - iwapo haumwamini mwakilishi wako "bunge"
mkuu ilitakiwa vitendo vichukuliwe haraka kama ambavyo vimechukuliwa kwa watu na matukio mengine has hata kapress ka kinafiki.
Ashki hata wewe unazo, acha kushauka. Kuna watu waliwekwa kizuizini immediately baada ya mambo yao kuibuliwa ili wasitoroke, je hawa hawawezi kutoroka?
Au unataka kuniambia wewe hapa jukwaani ndio unaweza saaaana kiasi uone matusi ya ashki yanatustahili wote tunaodhani kwamba 'wamesimamishwa kupisha uchunguzi' was the right move?
Kumbe mkiguswa wakali eeeh!