Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Kikwete alipo mgeuka Lowassa wewe hukuwa umezaliwa?Jigsaw, nakupa tahadhari kidogo tu...mtumbua majipu yabidi kwanza awe na uhakika kwamba yeye si jipu! Je unaweza kukata tawi ulokalia ukabaki salama? Hicho ndicho kitendawili kinachomkabili Magufuli kwani alikuwa sehemu ya serikali iliyopita.
Hivi Kikwete alimgeuka Lowassa kwa sababu gani? Na kwanini mwisho wa siku anayeonekana jipu ni Kikwete kwa kila ufisadi wa 2005-2015? Unaweza kutupa elimu juu ya hili?Kwani Kikwete alipo mgeuka Lowassa wewe hukuwa umezaliwa?
Hivi wakisimamishwa bila uchunguzi wewe si utakuja hapa kuanza kusema kuwa wanaonewa? Hivi mmejisahau huwa mnasema serikali ina kurupuka? Leo hii mnataka watu wasimanishwe kazi hata niki kuuliza nani asimamishwe na kwasababu gani hujui!
Kwanini mnakuwa na vichwa vya panzi? Hivi ulimsikia mwenye kiti wa PAC jana?
Nina shaka kama hili neno la Mungu lilikuwa na mahusiano yoyote na mamlaka iliyopita awamu ya nginja nginja.Mungu wa kweli anasema zitiini mamlaka. labda kama unakusudia mungu wa ukawa. tumechoka na upuuzi wenu, ni muda sasa watu wafanye kazi
ha unachekesha mkuuTaarifa ya CAG bungeni 2016 ilisema kuwa pana ubadhirifu mkubwa sana wizara ya ujenzi, je waziri wake alikuwa nani? Meli ya samaki waziri gani aliikamata? na baada ya hapo serikali ilipa fidia baada ya kushindwa kesi. Hv ni nani asojuma utajiri wa JOHN! Ndo mana imeandikwa kwanza boriti jichoni mwako harafu kibanzi kwa mwenzio pia Mungu hamfichi mnaki na bado madudu mengi ya jamaa.
Iwe iwavyo mimi napata tabu sana kujiaminisha ili kuwaje mtu kupewa fedha almost zote kabla ya kumaliza mkataba toka 2011 na akawa ana tembea nazo mifukoni kwa miaka minne kabla ya awamu iliyo saini naye mkataba haija ondoka na pia CIG asilione hili kwa miaka hii yote kinacho zungumzwa kikiwa Bil.34 kwenye bajeti ya wizara yoyote ni hela inayo onekana gap yake yame wezekanaje haya yote hadi jamaa akimbie kwenye awamu hii na asikimbie kwenye awamu iliyo pita? Hakuna cha kununua vifaa wala nini hiyo hela baada ya kuchanga na kugawa ipo tu?Inasemekana LUGUMI kaenda nje ya nchi kununua vifaa ili wamalize kazi kwa supersonic speed and put Lugumi Gate to closure!
Umenikumbusha sakata la makamba!!! kiukweli ni lazima tujiulize kwanini huyu MAKUFULI anawaone perege tuuu?? kwanini hawagusi hawa samaki wakubwa????? mi naona anavuta muda ili watanzania wasahau!!!Bado Siamini kama Magufuli atalivusha Taifa hili, zaidi tutashuhudia kutafuta popularity, Chini ya Utawala wa CCM hakuna jipya litakalofanyika, maana ili ashughulike na wizi hasa, itampasa kukata mzizi wa shina la Wizi, Je mnajua shina la Wizi wa nchi hii ni kina nani?
Chunguza wapiga dili wa nchi hii, utakuta kila kashfa, watu wale wale wapo nyuma yake, na ndio hao waliompambania yeye kuingia IKULU, Kwa kuanza basi aanze na LUGUMI tu ili urudishe imani yako kwa watanzania walalahoi na maskini kama mimi ambayo kodi zetu zinanufaisha watu wachache na wakati kuna ndugu zetu wengi tyu wanakufa mahospitalini bila dawa... why ucheze na sisimizi muda wote wakati kuna TEMBO..... chonde chonde Mheshimiwa
Issue za Kikwete, Lowassa na wengine kama hao zimeshazungumziwa miaka nenda rudi. Sasa unapo taka nikupe Elimu maana yake nakubaliana na uzembe wako wa kutokufuatilia mambo.Hivi Kikwete alimgeuka Lowassa kwa sababu gani? Na kwanini mwisho wa siku anayeonekana jipu ni Kikwete kwa kila ufisadi wa 2005-2015? Unaweza kutupa elimu juu ya hili?
Cheo ni cha mwenye cheo (mtoaji). Akikupa furahi akikichukua shukuru, hakuna kuonewa hapo hata kama huna kosa. Mbona Makatibu Wakuu zaidi ya 25 waliachwa na hakuna aliyelalamika? Wanasubiri kupangiwa kazi hadi leo? Rais yuko huru kufanya kazi yake. Muacheni afanye anayoona yataitoa nchi hii hapa ilipo. Hatutaki shinikizo la aina yoyote. Go go Magufuli.L
Iigumi ni lingumu sio mchezo....
Mungu ana makusudio kwa watu wake waliokuwa wameanza kulishwa matango pori kupitia vyombo vya habari kuwa amepatikana malaika tena mtenda haki asiyestahili hata kukoselewa na ukimkusoa wewe si mzalendo bali una wivu tu na chuki dhidi yake.
Tumeaminishwa haangali sura,hana chama, anasimamia haki,hamuogopi mtu, n.k na zaidi tumuombe kwa mungu.
Hata hivyo,limeibuka jambo ambalo litawasaidia wengi kama si wote kujua ukweli halisi kuhusu mtu huyu na kama kweli anafanya mambo yanayostahili yeye kuombewa.
Mungu aliona asisubiri sana maana watu wake wanazidi kupotea-the earlier the better.
NB: Kupitia mungu huyo huyo,vice versa is also true.
Tusubiri.
Samahani mkuu, ni kengele na sio kengere...Ni nani wa kumvalisha paka kengere?
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani keshasema mkataba huo hauwezi tolewa hadharani.Soma uzi husika uko hapa mtandaoni.Rais ndio alikuwa anaidhinisha malipo. Hakuna siri yoyote kwenye hilo. Malipo makubwa ya msho yalifanyika baada ya Rais kurudi nchini aktokea EU na USA.