Kuicheka Simba SC kutoka Sare na Kutoishangaa Wydad FC Bingwa Mtetezi kufungwa ni Uwendawazimu mkubwa

Hapo issue ni moja2 perfomance uwanjani kati ya hizi team mbili, kwa mfano leo hii ukiwaambia mashabiki wa utopolo waje uwanjani j'mosi kwa wingi watakuja maana team yao inacheza vzr yaani iko kwenye uelekeo tofauti na simba, ambapo leo hii ukiambiwa simba anacheza na azam unaanza kuwa na mashaka kutokana na perfomance yao uwanjani. Juzi yanga kapigwa 3:0 hakuna mtu aliyeumia lakini simba kadroo2 lakini watu wameisusia team yaooo maana wanaona kabisa uelekeo siyo mzuriiii
 
Exactly
 
Mpira umejaa mamluki siku hizi, ambao hawajui lolote zaidi ya kuangalia nani kafunga au kafungwa

Tazama takwimu za Wydad vs Galaxy, utaona kuwa Wydad alifungwa tu kwa sababu kwenye mpira kuna bahati pia, alitawala mchezo, akashambulia sana lakini bahati haikuwa yao,

Simba unaona kabisa alikuwa amezidiwa na goli lao lilikuwa la penalti ya bahati baada ya mpira kumgusa mchezaji mkono
Screenshot_20231126-140442.png
 
Hapo issue ni moja2 perfomance uwanjani kati ya hizi team mbili, kwa mfano leo hii ukiwaambia mashabiki wa utopolo waje uwanjani j'mosi kwa wingi watakuja maana team yao inacheza vzr yaani iko kwenye uelekeo tofauti na simba, ambapo leo hii ukiambiwa simba anacheza na azam unaanza kuwa na mashaka kutokana na perfomance yao uwanjani. Juzi yanga kapigwa 3:0 hakuna mtu aliyeumia lakini simba kadroo2 lakini watu wameisusia team yaooo maana wanaona kabisa uelekeo siyo mzuriiii
Akili umezifungia chooni?Afungwe tatu iwe poa halafu droo iwe nongwa?Umevimbiwa mihogo ya Hersi!
 
Hapo issue ni moja2 perfomance uwanjani kati ya hizi team mbili, kwa mfano leo hii ukiwaambia mashabiki wa utopolo waje uwanjani j'mosi kwa wingi watakuja maana team yao inacheza vzr yaani iko kwenye uelekeo tofauti na simba, ambapo leo hii ukiambiwa simba anacheza na azam unaanza kuwa na mashaka kutokana na perfomance yao uwanjani. Juzi yanga kapigwa 3:0 hakuna mtu aliyeumia lakini simba kadroo2 lakini watu wameisusia team yaooo maana wanaona kabisa uelekeo siyo mzuriiii
Bonge la point
 
Tafadhali naomba niwekewe hapa Jedwali la matokeo ya Mechi za Kwanza za Makundi ya Simba na Yanga ili nijue nani ni Mwanaume hasa na nani ni Mwanamke ( wa Kikeni ) hasa katika Mchezo wa Mpira wa Miguu.
Unahangaika na watu wasio na akili badala ya kuhangaika na timu yako?
 
Tafadhali naomba niwekewe hapa Jedwali la matokeo ya Mechi za Kwanza za Makundi ya Simba na Yanga ili nijue nani ni Mwanaume hasa na nani ni Mwanamke ( wa Kikeni ) hasa katika Mchezo wa Mpira wa Miguu.
Kwani wanaoicheka simba ni Yanga au mashabiki vurugwa wa Simba yenyewe??
 
Back
Top Bottom