Kuicheka Simba SC kutoka Sare na Kutoishangaa Wydad FC Bingwa Mtetezi kufungwa ni Uwendawazimu mkubwa

Kuicheka Simba SC kutoka Sare na Kutoishangaa Wydad FC Bingwa Mtetezi kufungwa ni Uwendawazimu mkubwa

Hapo issue ni moja2 perfomance uwanjani kati ya hizi team mbili, kwa mfano leo hii ukiwaambia mashabiki wa utopolo waje uwanjani j'mosi kwa wingi watakuja maana team yao inacheza vzr yaani iko kwenye uelekeo tofauti na simba, ambapo leo hii ukiambiwa simba anacheza na azam unaanza kuwa na mashaka kutokana na perfomance yao uwanjani. Juzi yanga kapigwa 3:0 hakuna mtu aliyeumia lakini simba kadroo2 lakini watu wameisusia team yaooo maana wanaona kabisa uelekeo siyo mzuriiii

Umejibu sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom