Kuicheka Simba SC kutoka Sare na Kutoishangaa Wydad FC Bingwa Mtetezi kufungwa ni Uwendawazimu mkubwa

Tafadhali naomba niwekewe hapa Jedwali la matokeo ya Mechi za Kwanza za Makundi ya Simba na Yanga ili nijue nani ni Mwanaume hasa na nani ni Mwanamke ( wa Kikeni ) hasa katika Mchezo wa Mpira wa Miguu.
andazi wewe wydad sio bingwa mtetezi,halafu sisi tumcheke wydad tuna ugomvi gani naye?

juzi zilifungwa timu nyingi ila nyie madunduka mlichagua kuicheka yanga tu leo tunaelekezana timu za kuzicheka tangu lini huo mfumo wa kupangiana!!!
 
Akili umezifungia chooni?Afungwe tatu iwe poa halafu droo iwe nongwa?Umevimbiwa mihogo ya Hersi!
kama issue ni kufungwa tatu na kudroo angalia nani analalamika? Yanga kapigwa tatu sawa lakini hakuna hata sehemu unaona wanalaumu uongozi, wachezaji wala kocha lakini kwa wale waliodroo ndo kabisaa mara bonus, mara uchawi mara fitness, mara uongozi tushike lipi sasa mkuu?
 
Usihitimishe kwa kuzira.Kwa hiyo aliyefungwa tatu kwa nunge yupo sawa na aliyetoka droo ya moja-moja?Hivi huwa mnafikiria kwa kutumia magoti?
Wala mihogo wanafikiri Kwa kutumia makalio.Walimcheka Simba eti kasajili wazee,lkn mwarabu mwenye 38 years ndo aliwapiga chuma ya 3. Subiri wachemshe Tena Kwa Al Ahly ndo watatoka pangoni
 
Kwani nani anawacheka, si nyie washabiki wenyewe ndio mnatoa maneno ya shombo tangu jana...
 
Wanachofanya ni kuchochea chuki Kwa mashabiki ili Simba iendelee kufanya vibaya Kwa manufaa Yao. Uliwahi kuona wapi aliefungwa anamcheka aliepata sare?. Na uelewa pia wengi WA mashabiki ndio hivyo tena.
Mwishowe watashindwa na kuumbuka vibaya sana....

..kila muda wanapandisha nyuzi nyingi kuhusu Simba, ila habari za matokeo yao kule Algeria wanazipotezea.
 
kama issue ni kufungwa tatu na kudroo angalia nani analalamika? Yanga kapigwa tatu sawa lakini hakuna hata sehemu unaona wanalaumu uongozi, wachezaji wala kocha lakini kwa wale waliodroo ndo kabisaa mara bonus, mara uchawi mara fitness, mara uongozi tushike lipi sasa mkuu?
Kwa sababu mashabiki wote wa utopolo unaishi nao Kijiji kimoja?
 
Akili umezifungia chooni?Afungwe tatu iwe poa halafu droo iwe nongwa?Umevimbiwa mihogo ya Hersi!
Performance vs matokeo. Ukielewa hivyo vitu kwenye mpira havikupi tabu. Yanga walifungwa ila performance yao ilikuwa kubwa sana uwanjani. Kilichowahukumu ni matokeo tu hivyo ukiangalia mwelekeo wao hasa ukiangalia na aina ya mpinzani aliyekutana nao unaona kabisa wanaelekea kwenye safari ya matumaini. Wana mambo machache sana ya kurekebisha ili wafike safari yao. Simba kinachowahukumu ni performance. Ni mara nyingi tu Simba huwa inafungwa kwenye klabu bingwa lakini mashabiki hufurahi mfano mechi dhidi ya Kaizer chief, Orlando pirates, na Wydad. Hakuna shabiki aliyechukia uchezaji wa timu pamoja na kupoteza ni kutokana na mashabiki kupata wanachostaili kukiona uwanjani.
 
Huko ni kujiliwazia.Ufungwe magoli matatu kwa mtungi halafu uvunge una furaha?Upuuzi wa performance?😂😂😂😂
 
Wala mihogo wanafikiri Kwa kutumia makalio.Walimcheka Simba eti kasajili wazee,lkn mwarabu mwenye 38 years ndo aliwapiga chuma ya 3. Subiri wachemshe Tena Kwa Al Ahly ndo watatoka pangoni
Taja wachezaji wa Belouizdad waliocheza ile mechi wenye miaka35+
Kila shabiki wa Yanga kafurahia na kuridhika na matokeo hakuna nyuzi zilizoanzishwa za kutuhumiana, wala kutafutana mchawi ila Simba mnahamasishana msiingie uwanjani na baada ya kutoa sare malalamiko kibao. Tatizo nini kwanini msiridhike na hiyo sare?
 
Huko ni kujiliwazia.Ufungwe magoli matatu kwa mtungi halafu uvunge una furaha?Upuuzi wa performance?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini mnahamasishana msiingie uwanjani wakati timu imepata point moja?
Kwanini mnapeana shutuma, mnatoa mapovu na wakati mmepata sare? Si mngekaa kimya mkajipanga kwa mechi inayofuatia huku mki hamasishana kuwa hakuna baya mgange mbele?
 
Hatupendi kufungwa.Ninyi mliofungwa na mnadanganya mna furaha endeleeni na uongo.
 
Mwishowe watashindwa na kuumbuka vibaya sana....

..kila muda wanapandisha nyuzi nyingi kuhusu Simba, ila habari za matokeo yao kule Algeria wanazipotezea.
Hata Simba ingeshinda Gili moja ungesikia dharau Tu. Cha kushangaza shabiki WA Simba wameingia Mazima hawajui mvurugano ndio Una wapa tiketi ya Ubingwa. Shida Yao ni NBC huko nje wanajua sio size Yao.
 
andazi wewe wydad sio bingwa mtetezi,halafu sisi tumcheke wydad tuna ugomvi gani naye?

juzi zilifungwa timu nyingi ila nyie madunduka mlichagua kuicheka yanga tu leo tunaelekezana timu za kuzicheka tangu lini huo mfumo wa kupangiana!!!
Nilipitiwa ni Finalist wa CAFCL na Bingwa ni National Al Ahly FC. Haya tuendelee kujikita katika Mada Kuu tafadhali.
 
Back
Top Bottom