Kuidharau Yanga SC ikielekea CAFCC Semi ni Ushamba na Simba SC haijawahi Kucheza Fainali ya CAFCC

Bwege wewe andunje mpenda attention. Mi nikiona unafanya ujinga nakugonga tu sikufugii hisani. Boya wewe andunje.
Damn Fool pamoja na huyo aliyesapoti Ulichokiandika. Najua unataka Majibizano nami ili ID yako ijulikane haraka.

Pole sana na kamwe hutofanikiwa. Hukukosea ulivyojiita Chizi kwani unajiwakilisha vyema. Na ninakudharau kweli kweli.

Cc: wansawa
 
Boya wewe acha kujipendekeza Yanga hatutaki maboya andunje mpenda attention. Mi nakuchana tu we bwege.
 
Duh we jamaa ukiamua unaweza..Ila unafelishwa na unazi nadhani maandishi yako Kama haya kwenye gazeti ama blog zinakaa fresh tu na kusomwa youtube ukiamua

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Kombe la Shirikisho Ndio Hilo lilikuwa linaitwa la Washindi! Ambapo zamani hakukuwa na Makundi. Kwa hiyo kilichobadilika ni Jina na mfumo wa uendeshaji! Kumbuka awali aliyekuwa anashiriki ni Mshindi wa Pili, siku hizi zinashiriki hata Timu za Madara ya chini! Ndio maana Leo Kuna kina Marumo Galaxy ! + Loosers!
Umezungumza kwa hisia sana
 
Usichanganye madesa, mshindi wa pili kwenye ligi hakuwa na mashindano yoyote, ila tu mwaka 1993 Mashoud Abiola akiwa kwenye hatakati za kisiasa kuwania urais wa Nigeria, akawapanga CAF kuanzisha CAF Cup ambalo Simba alifika final akafungwa na Stella Abidjan 2-0 pale Shamba la Bibi kwa magoli ya Boli Zozo. Simba mwaka huo alikuwa wa pili kwenye ligi. Kombe la Washindi alienda Pamba ambae alikuwa mshindi wa FA cup, kipindi hicho ikiitwa Nyerere Cup na sasa ni Azam Confederation Cup. Hilo CAF Cup lilifutwa mwaka huo huo na baadae yakawa mawili tu Klabu Bingwa na Confederation Cup.
 
Naendelea kula data hapa.
 
Sawa GENTAMYCINE. Ila unasemaje pia kitendo cha Yanga kubeza mafanikio ya Simba kwa misimu kadhaa nyuma: kufika robo fainali CAFCL na kupeleka timu 4 kimataifa kwa zaidi ya mara 2, jambo ambalo Yanga wamekufa wakikejeli sana?
 
Yanga SC hufanya hivyo Kwetu Kiutani tu kama vile ambavyo hata Mimi GENTAMYCINE huwa napenda mno Kuwatania hapa JamiiForums.

Jifunze kutofautisha kati ya Utani na Uhalisia ( Ukweli ) hasa linapokuja Suala la Simba na Yanga.

Sikatai kuwa Simba SC yangu bado ipo Juu Kimataifa ( hasa kwa Mafanikio ) ila Yanga SC nao Wameimarika kwa Kasi mno katika Management, Players Registration and Team Performance na Mimi ndiyo nimejikita hapa zaidi.

Cc: Bila bila and Dr Matola PhD
 
Kombe la Shirikisho Ndio Hilo lilikuwa linaitwa la Washindi! Ambapo zamani hakukuwa na Makundi. Kwa hiyo kilichobadilika ni Jina na mfumo wa uendeshaji! Kumbuka awali aliyekuwa anashiriki ni Mshindi wa Pili, siku hizi zinashiriki hata Timu za Madara ya chini! Ndio maana Leo Kuna kina Marumo Galaxy ! + Loosers!
Marumo Gallants alikuwa bingwa wa FA ya South Africa mkuu, kama ilivyotaka kutokea kwa COASTAL UNION
 
Wewe ndio Una shida ndugu. Ligi yetu sasa hivi ina timu 16 ,inaitwa NBC premier League na iko chini ya TFF lakini hii hii ligi sio mara zote tangu kuanzishwa kwake ilikuwa na timu 16 na iliitwa NBC premier League na ilikuwa chini ya TFF.

Kwa hiyo timu inaposema imechukua ubingwa wa ligi mara 22 sio sahihi? Kwa hiyo timu iseme imechukua ubingwa mara 10 enzi za FAT mara 5 enzi za TFF , au iseme imechukua ubingwa mara 6 timu shiriki zikiwa 12 na mara Saba timu shiriki zikiwa 16?
CAF CHAMPIONS LEAGUE = UEFA CHAMPIONS LEAGUE

CAF WINNERS CUP = UEFA EUROPA LEAGUE

CAF CUP = UEFA CONFERENCE LEAGUE.

Nimeiweka kwa urahisi ili upate kuelewa.
 
Hapa unachanganya mashindano na nyakati, wakati unatumia modern format UEFA huku CAF unatumia ya zamani. Mind you hata huko Ulaya waliwahi kuwa na kombe la washindi. So kwa sasa there's no comparison to take from. Huku kwetu kimsingi kombe la Washindi alitakiwa aende FA cup winner ila aliweza kwenda league runners up.
 
Jizime DATA
 
African cup winner's cup = caf confederation cup
African cup of champions club = caf champions league
 
Kwani aliyesema kombe la losers si Msemaji wa Manara [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom