Kuidharau Yanga SC ikielekea CAFCC Semi ni Ushamba na Simba SC haijawahi Kucheza Fainali ya CAFCC

Aah najilize na losers wakati timu ipo champions. Tunawapa fact tu na hakuna timu ya maana itatamani kushiriki CAF CC badala ya CAF champions hata kama kila msimu itafika nusu final.
Losers ndiyo kulikowafanya mchome moto kwa kuwanga ugenini mchana kweupe na inonga kupatwa degedege wakati wa penati
 
Kwanza tuelewane chini ya CAF hakuna Shindano la Loosers ( Walioshindwa ) bali Mashindano yote yana Umuhimu na yametenganishwa ili Kukuza zaidi Kiwango cha Soka hasa Kimashindano kwa Bara la Afrika.

Pili kama kuna mwana Simba SC Mwenzangu hapa JamiiForums anabeza Mafanikio haya ya Yanga SC na Jumapili ikifuzu Kihistoria kwa hatua ya Nusu Fainali ya CAFCC hatoishia tu kuwa Mshamba bali atakuwa ni Juha ( Fool ), Mchawi Tukuka na siyo Mwanamichezo.

Tatu na Mwisho Simba SC haijawahi Kucheza Fainali ya CAFCC ila ilicheza Fainali ya Kombe la Washindi Barani Afrika kwa Kucheza na Stella Abidjan ya Ivory Coast.

Tena niwaibieni Siri wana Simba SC Wenzangu hili tusiliendeleze sana kwani hata hilo Kombe lenyewe la Washindi lilikuwa halishirikishi Timu nyingi kama ilivyo sasa katika Kombe la Shirikisho ambalo Yanga SC inashiriki.

Ni Uwendawazimu usio na Mipaka wala Uvumilivu leo hii Kuwabeza Yanga SC wanaoshiriki Michuano yenye Timu nyingi tena wakianzia hatua za Awali ya CAFCC na Kuilinganisha na Michuano ya iliyokuwa Kombe la Washindi ambayo Timu zilikuwa chache na Ushindani wake ukiwa ni Hafifu tofauti na sasa.

Tukubali tu kuwa kwa sasa Watani zetu Yanga SC Gari imewaka Kimataifa na Kitaifa na pia hata Bahati nayo imekaa upande Wao hivyo huu Mjumuiko / Mseto wa haya Mambo yote Mawili yanaifanya Yanga SC izidi Kutakata na Inatakata kweli kweli huku ikituumbua tunayoichukia na kuiombea mabaya Kutwa.

Kama kuna mazuri Kwao tuyaige tu.

Alamsiki nyote.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Mkuu big up, ukiendelea hivi Kura yangu unaipata mapema kabisa ya mwanamichezo Bora wa mwaka wa jukwaa letu pendwa..tena mapema Sana maana tunahutaji nondo kama hizi na wala si ushabiki maandazi..BIG UP MKUU
 
Kwanza tuelewane chini ya CAF hakuna Shindano la Loosers ( Walioshindwa ) bali Mashindano yote yana Umuhimu na yametenganishwa ili Kukuza zaidi Kiwango cha Soka hasa Kimashindano kwa Bara la Afrika.

Pili kama kuna mwana Simba SC Mwenzangu hapa JamiiForums anabeza Mafanikio haya ya Yanga SC na Jumapili ikifuzu Kihistoria kwa hatua ya Nusu Fainali ya CAFCC hatoishia tu kuwa Mshamba bali atakuwa ni Juha ( Fool ), Mchawi Tukuka na siyo Mwanamichezo.

Tatu na Mwisho Simba SC haijawahi Kucheza Fainali ya CAFCC ila ilicheza Fainali ya Kombe la Washindi Barani Afrika kwa Kucheza na Stella Abidjan ya Ivory Coast.

Tena niwaibieni Siri wana Simba SC Wenzangu hili tusiliendeleze sana kwani hata hilo Kombe lenyewe la Washindi lilikuwa halishirikishi Timu nyingi kama ilivyo sasa katika Kombe la Shirikisho ambalo Yanga SC inashiriki.

Ni Uwendawazimu usio na Mipaka wala Uvumilivu leo hii Kuwabeza Yanga SC wanaoshiriki Michuano yenye Timu nyingi tena wakianzia hatua za Awali ya CAFCC na Kuilinganisha na Michuano ya iliyokuwa Kombe la Washindi ambayo Timu zilikuwa chache na Ushindani wake ukiwa ni Hafifu tofauti na sasa.

Tukubali tu kuwa kwa sasa Watani zetu Yanga SC Gari imewaka Kimataifa na Kitaifa na pia hata Bahati nayo imekaa upande Wao hivyo huu Mjumuiko / Mseto wa haya Mambo yote Mawili yanaifanya Yanga SC izidi Kutakata na Inatakata kweli kweli huku ikituumbua tunayoichukia na kuiombea mabaya Kutwa.

Kama kuna mazuri Kwao tuyaige tu.

Alamsiki nyote.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Acha kutudanganya. CAF CUP ndiyo cafcc ya leo.

Shida yako wewe mjuaji halafu unaamini unajua kila kitu na ukishasema Basi . Ni ushamba!

Simba inacheza klabu bingwa ambayo Yanga ilishindwa. Ikaangukia kombe la luzas.

Manara ndiye alilibatiza hivyo akiwabeza Simba.

Yaani Simba inayocheza klabu bingwa ikajifunze kwa mtu aliyefeli.

Hivi unajua tofauti ya hadhi ya haya mashindano mawili cafcl na cafcc!

Acha ushamba na ulimbukeni!
 
Kama CAF cup ndio kwasasa ndio shirikisho, embu nitajie timu mojawapo iliyoshinda kombe la Caf cup halafu akaenda kucheza Caf super cup
 
Kwanza tuelewane chini ya CAF hakuna Shindano la Loosers ( Walioshindwa ) bali Mashindano yote yana Umuhimu na yametenganishwa ili Kukuza zaidi Kiwango cha Soka hasa Kimashindano kwa Bara la Afrika.

Pili kama kuna mwana Simba SC Mwenzangu hapa JamiiForums anabeza Mafanikio haya ya Yanga SC na Jumapili ikifuzu Kihistoria kwa hatua ya Nusu Fainali ya CAFCC hatoishia tu kuwa Mshamba bali atakuwa ni Juha ( Fool ), Mchawi Tukuka na siyo Mwanamichezo.

Tatu na Mwisho Simba SC haijawahi Kucheza Fainali ya CAFCC ila ilicheza Fainali ya Kombe la Washindi Barani Afrika kwa Kucheza na Stella Abidjan ya Ivory Coast.

Tena niwaibieni Siri wana Simba SC Wenzangu hili tusiliendeleze sana kwani hata hilo Kombe lenyewe la Washindi lilikuwa halishirikishi Timu nyingi kama ilivyo sasa katika Kombe la Shirikisho ambalo Yanga SC inashiriki.

Ni Uwendawazimu usio na Mipaka wala Uvumilivu leo hii Kuwabeza Yanga SC wanaoshiriki Michuano yenye Timu nyingi tena wakianzia hatua za Awali ya CAFCC na Kuilinganisha na Michuano ya iliyokuwa Kombe la Washindi ambayo Timu zilikuwa chache na Ushindani wake ukiwa ni Hafifu tofauti na sasa.

Tukubali tu kuwa kwa sasa Watani zetu Yanga SC Gari imewaka Kimataifa na Kitaifa na pia hata Bahati nayo imekaa upande Wao hivyo huu Mjumuiko / Mseto wa haya Mambo yote Mawili yanaifanya Yanga SC izidi Kutakata na Inatakata kweli kweli huku ikituumbua tunayoichukia na kuiombea mabaya Kutwa.

Kama kuna mazuri Kwao tuyaige tu.

Alamsiki nyote.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Mwamba.
 
Hujawahi, nasema hujawahi tena, yaani hujawahi kuniangusha. Hizi timu 2 zimekosa kabisa Wasemaji zaidi ya kubaki na Wachambaji. Ahmed anaamini kuibeza Yanga ndo kick, Alli anaamini kuibeza Simba kunampandisha. Hawa ndo catalyst ya ujinga wa mashabiki Kwa Sasa. Alianza Manara akaungwa Sana mkono na warugaruga, lakini Aina Ile ya Usemaji haipo timu zinazojitambua. Ile ni hamasa ya kishamba siyo Usemaji.
Kweli mkuu. Wananikera na staili zao za kishamba hizo.
 
Kwanza tuelewane chini ya CAF hakuna Shindano la Loosers ( Walioshindwa ) bali Mashindano yote yana Umuhimu na yametenganishwa ili Kukuza zaidi Kiwango cha Soka hasa Kimashindano kwa Bara la Afrika.

Pili kama kuna mwana Simba SC Mwenzangu hapa JamiiForums anabeza Mafanikio haya ya Yanga SC na Jumapili ikifuzu Kihistoria kwa hatua ya Nusu Fainali ya CAFCC hatoishia tu kuwa Mshamba bali atakuwa ni Juha ( Fool ), Mchawi Tukuka na siyo Mwanamichezo.

Tatu na Mwisho Simba SC haijawahi Kucheza Fainali ya CAFCC ila ilicheza Fainali ya Kombe la Washindi Barani Afrika kwa Kucheza na Stella Abidjan ya Ivory Coast.

Tena niwaibieni Siri wana Simba SC Wenzangu hili tusiliendeleze sana kwani hata hilo Kombe lenyewe la Washindi lilikuwa halishirikishi Timu nyingi kama ilivyo sasa katika Kombe la Shirikisho ambalo Yanga SC inashiriki.

Ni Uwendawazimu usio na Mipaka wala Uvumilivu leo hii Kuwabeza Yanga SC wanaoshiriki Michuano yenye Timu nyingi tena wakianzia hatua za Awali ya CAFCC na Kuilinganisha na Michuano ya iliyokuwa Kombe la Washindi ambayo Timu zilikuwa chache na Ushindani wake ukiwa ni Hafifu tofauti na sasa.

Tukubali tu kuwa kwa sasa Watani zetu Yanga SC Gari imewaka Kimataifa na Kitaifa na pia hata Bahati nayo imekaa upande Wao hivyo huu Mjumuiko / Mseto wa haya Mambo yote Mawili yanaifanya Yanga SC izidi Kutakata na Inatakata kweli kweli huku ikituumbua tunayoichukia na kuiombea mabaya Kutwa.

Kama kuna mazuri Kwao tuyaige tu.

Alamsiki nyote.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Loosers ❌❌❌❌
Losers✅✅✅✅

Nlitaka kushangaa mtu ameenda kusoma chuo SAUT anaweza kuwa na uelewa mzuri wa lugha anayotumia kweli? SAUT? kuweni serious.
 
Na hata Kuukosoa Umasikini wako Uliokukubuhu huwa pia unafanya hivi hivi ili usiendelee kuwa Omba Omba?

Kumbe kupatia Kuandika vyema Lugha ya Kiingereza kwa Mpumbavu Mkuu kama Wewe ndiyo Usomi?

Vijana wa Upinde mna tabu mno tu.
 
Wewe ndo maskini wa hed andunje mpenda wadudu. Unataka sana attention sisi yanga hatutaki upinde uje kujipendekeza kwetu kaa mbali mama jenny... Nyie watu wafupi mnapenda sana attention.
 
Kuna Watu hapa wananijua vyema unaposema Mimi ni Mfupi hakika Wanathibitisha kuwa Kweli Wewe ni Chizi kama ID yako ilivyo na Mpumbavu Tukuka.

Kutwa unahangaika Kujipendekeza / Kunishobokea na kutafuta Umaarufu kupitia Kujibizana nami ila hutofanikiwa.

Nina PhD ya Mapambano ya Vita ya Maneno na Maandishi na huna Uwezo wa Kupambana nami kwani hata huko nyuma kulikuwa na Magwiji hapa JamiiForums ila walinishindwa kwa Moto wangu.

Bwege wewe andunje mpenda attention. Mi nikiona unafanya ujinga nakugonga tu sikufugii hisani. Boya wewe andunje.
 
Simba ina historia Kimataifa kuliko timu zingine hapa Tanzania.
Mbona records zipo? Tusiwe wavivu kufukunyua.
 
Back
Top Bottom