Kuidharau Yanga SC ikielekea CAFCC Semi ni Ushamba na Simba SC haijawahi Kucheza Fainali ya CAFCC

Kuidharau Yanga SC ikielekea CAFCC Semi ni Ushamba na Simba SC haijawahi Kucheza Fainali ya CAFCC

Yanga wako vizuri bwana,unafurahia pia kuwatazama wakicheza game zao..sisi Simba tukubali yanga wametuzidi na watafikambali
Yanga wametuzid Kwa facts zipi?
Ushabiki muda wingine unatufanya tuonekane wote vilaza.
Fuatilia game ya juz ya Simba na Yanga ndipo utaujua ukweli wote.
Nenda game ya Simba na wydad utajifunza kitu .
Simba na Yanga Zina ubora sawa, Yanga ana faida Moja tu ya kuwa na kikosi kipana kuzid Simba Kwa huu msimu ila wakiingia uwanjan unaona waz hakuna anayemzid mwenzie kiivo .
Kwa lugha nyepes Wana ubora sawa.
 
Shida ya nyie watu ni vilaza sana .
Kipindi anaongea msemaji wenu kuwa hilo hayo mashindano ni ya waliofeli mlimuunga mkono badala ya kumkataza huo ujinga wake ,na mlimuunga mkono sabab hamkua kwenye hayo mashindano.Leo hii mpo huko mnakumbushwa km ni sehemu ya waliofeli mnachukia wakat mwanzo mlisapot hicho kitu.
Badiriken msipende kubeza vitu wakat mnajua waz mnaweza pitia huko.
Simba ikifeli Klabu bingwa misimu ijayo inaweza kuangukia shirikisho Sasa nadhani hawatapeleka timu kwa aibu!

Ulaya Kuna UEFA champions league na Europa champions league, timu zote zinacheza bila kuangalia ukubwa wake maana hizo sio leagues za ndani kinachotafutwa na timu ni mpunga tu!

Yanga ikibeba Shirikisho ni mpunga mrefu kuliko wa Simba kuishia robo fainali klabu bingwa Africa, kweli Rage ajengewe sanamu Msimbazi hakubahatisha kusema Simba wote mbumbumbu kasoro yeye tu! Hebu utopolo mwenzangu mwenye Ile video ya Rage aitupie Tena
Humu JF tuinjoy!
 
Simba ikifeli Klabu bingwa misimu ijayo inaweza kuangukia shirikisho Sasa nadhani hawatapeleka timu kwa aibu!
Simba itaenda vzr Sana tu maana club yetu inaheshimu Kila michuano.
Msijifiche ,hapa mnakumbushwa tu kuwa mlisema Simba asitambe kuwa kwenye hayo mashindano maana ni ya waliofeli .
Sasa nyie mnapata wapi muda wa kutamba wakat mlisema haina haja ya kutamba ukiwa shirikisho?

Kubali ukweli na chutama kuwa tulikosea kuwasema Simba kuwa wapo sehemu ya waliofeli na mlipiga sana kelele Sasa Kuna ubaya gan mkikumbushwa hilo.
 
Tatizo ni Simba baada ya kushindwa na kutolewa mashindano ya klabu bingwa Africa mmepata excuse kusema Yanga Iko kombe la loosers!

Simba mkubali timu yenu ni mbovu kwa kutopata kombe lolote kubwa msimu huu. Kulazimisha kuishusha hadhi Yanga hakuipandishi Simba
 
Hilo kiukweli ni kombe la losers na msimu utakaoona Al ahly na Mamelod wanashiriki hilo kombe ujue wameshuka na haziwezi kutamani kushiriki. Ni kama Man U, Juventus , Barcelona kushiriki Europa ni kushuka.
 
Una akili Sana mimi kipindi simba inafanya vzr nilisoma hapa tuige baadhi ya mambo yao nikatukanwa

Yanga iko on fire gari limewaka!!!
 
Mchambuzi wangu bora zaidi wa muda wote, thumb up kwako huwezi kuwa mpenda soka afu ushindwe ku- recognize mafanikio ya team pinzani yako…..
Kiasili GENTAMYCINE sina Unafiki na sipendi Unafiki na ndivyo nilivyo Mkuu hata Wanaonijua Physically watakubali.

Mwanasimba yoyote anayekataa na Kuyakebehi haya Mafanikio ya sasa ya Yanga SC si tu ni Mpumbavu bali ana Uwendawazimu pia.

Yanga SC japo wako Shirikisho kwa sasa ila Wanatoa Funzo Kubwa sana Kwetu Sisi Wanasimba hata katika Usajili na Uongozi.

Cc: Bila bila na Dr Matola PhD
 
Unakubali jina limebadilika na mfumo wa uendeshaji alafu unalazimisha kuwa ni lile lile?

Shida Sana
Kwani Tanzania ,ilivyobadilishwa kutoka Tanganyika nininkimebadilika! Sinjina tu...au Ligi kuu awali Si iliiywa Ligi daraja la kwanza...tatizo Kuna watoto humu wameanza kuujua Mpira wa Tz enzi za Mayele!
 
Yanga wametuzid Kwa facts zipi?
Ushabiki muda wingine unatufanya tuonekane wote vilaza.
Fuatilia game ya juz ya Simba na Yanga ndipo utaujua ukweli wote.
Nenda game ya Simba na wydad utajifunza kitu .
Simba na Yanga Zina ubora sawa, Yanga ana faida Moja tu ya kuwa na kikosi kipana kuzid Simba Kwa huu msimu ila wakiingia uwanjan unaona waz hakuna anayemzid mwenzie kiivo .
Kwa lugha nyepes Wana ubora sawa.
NI Kweli Kabisa ...ila nakubaliana Genta kipande kidogo tu kuwa Yanga inapiga Hatua! Tatizo linakuja pale mashaniki maandazi oyaoya wa Uto waapotaka klonganisha Kombe la Shirikisho ( Washindi . Zamani) na Klabu Bingwa Afrika...kunanTimu kule ni dhaifu au za kawaida sanana..angalia miaka mi2ili nyuma washiriki wetu walikuwa Biashara,Geita na Namungo😊😊😊
 
Hata Saa mbovu huwa sahihi mara mbili kwa siku! 😄 Hongera kwa kulitambua hilo, Kumbe kuna wakati kichwa kinasoma vizuri.Yanga ikiingia nusu fainali ni mafanikio makubwa, Haijalishi ni CAFCL au CAFCCL.
 
Wanakijiji wawili wasomi na waliobahatika kupata kazi yenye maslahi yanayokaribiana, mara nyingi hupigana vikumbo kwenye mafanikio yao

Mmoja akinunua gari, mwingine anabeza kwa kusema unanunua gari huna nyumba!!??

Mmoja akijenga nyumba ya 3 rooms, mwingine anabeza kwa kusema nyumba ndogo, haina finishing ya kisasa n.k..

So kwa Yanga/Simba haya mabezano lazima yatokee tu. Na kwa wajuzi wa soka hawawezi kushangazwa na hilo
 
Tatizo ni Simba baada ya kushindwa na kutolewa mashindano ya klabu bingwa Africa mmepata excuse kusema Yanga Iko kombe la loosers!

Simba mkubali timu yenu ni mbovu kwa kutopata kombe lolote kubwa msimu huu. Kulazimisha kuishusha hadhi Yanga hakuipandishi Simba
Aisee hata Logic ya darasa la kwaza inakushinda nani akitolewa Klabu Bingwa kama sio Yañga...! Hivi hata aibu huna ! Hebu àngalia orodha ya Timu zinazoshiriki Klabu Bingwa ulinganishe na huko walipo Uto! Ukimaliza chungulia na orodha ya Ubora wa Vilabu Afrika!
 
Wanakijiji wawili wasomi na waliobahatika kupata kazi yenye maslahi yanayokaribiana, mara nyingi hupigana vikumbo kwenye mafanikio yao

Mmoja akinunua gari, mwingine anabeza kwa kusema unanunua gari huna nyumba!!??

Mmoja akijenga nyumba ya 3 rooms, mwingine anabeza kwa kusema nyumba ndogo, haina finishing ya kisasa n.k..

So kwa Yanga/Simba haya mabezano lazima yatokee tu. Na kwa wajuzi wa soka hawawezi kushangazwa na hilo
Ila mkuu kufaulu ni kufaulu ila inapitikea mtu wa QT anatupigia kelele inakera!
 
Mpeni maua yake kaka Genta tunamkosoa, tunam-reply kwa kebehi lkn ukweli ni kwamba anajua kucheza na audience ya humu[emoji16][emoji16]Hamna anaepita mada yake lazima ufungue usome
Na anawapatiaa haswaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anaeuona ukweli na akaukiri hata kama hauko upande wake huyo ni wa kusifiwa tena sana tu.
Hatujakataaa, mbna akiwapa ukweli unao waumiza, wanamuita popoma, mara awahi milembe, amesahau kunywa dawa zake.

Huwa huonagiiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila watu bhanaaa.
 
Back
Top Bottom