GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #101
Damn Fool pamoja na huyo aliyesapoti Ulichokiandika. Najua unataka Majibizano nami ili ID yako ijulikane haraka.Bwege wewe andunje mpenda attention. Mi nikiona unafanya ujinga nakugonga tu sikufugii hisani. Boya wewe andunje.
Boya wewe acha kujipendekeza Yanga hatutaki maboya andunje mpenda attention. Mi nakuchana tu we bwege.Damn Fool pamoja na huyo aliyesapoti Ulichokiandika. Najua unataka Majibizano nami ili ID yako ijulikane haraka.
Pole sana na kamwe hutofanikiwa. Hukukosea ulivyojiita Chizi kwani unajiwakilisha vyema. Na ninakudharau kweli kweli.
Cc: wansawa
Umezungumza kwa hisia sanaKombe la Shirikisho Ndio Hilo lilikuwa linaitwa la Washindi! Ambapo zamani hakukuwa na Makundi. Kwa hiyo kilichobadilika ni Jina na mfumo wa uendeshaji! Kumbuka awali aliyekuwa anashiriki ni Mshindi wa Pili, siku hizi zinashiriki hata Timu za Madara ya chini! Ndio maana Leo Kuna kina Marumo Galaxy ! + Loosers!
Usichanganye madesa, mshindi wa pili kwenye ligi hakuwa na mashindano yoyote, ila tu mwaka 1993 Mashoud Abiola akiwa kwenye hatakati za kisiasa kuwania urais wa Nigeria, akawapanga CAF kuanzisha CAF Cup ambalo Simba alifika final akafungwa na Stella Abidjan 2-0 pale Shamba la Bibi kwa magoli ya Boli Zozo. Simba mwaka huo alikuwa wa pili kwenye ligi. Kombe la Washindi alienda Pamba ambae alikuwa mshindi wa FA cup, kipindi hicho ikiitwa Nyerere Cup na sasa ni Azam Confederation Cup. Hilo CAF Cup lilifutwa mwaka huo huo na baadae yakawa mawili tu Klabu Bingwa na Confederation Cup.Kombe la Shirikisho Ndio Hilo lilikuwa linaitwa la Washindi! Ambapo zamani hakukuwa na Makundi. Kwa hiyo kilichobadilika ni Jina na mfumo wa uendeshaji! Kumbuka awali aliyekuwa anashiriki ni Mshindi wa Pili, siku hizi zinashiriki hata Timu za Madara ya chini! Ndio maana Leo Kuna kina Marumo Galaxy ! + Loosers!
Acha Kunishobokea ili Nikuingilie Ok?Boya wewe acha kujipendekeza Yanga hatutaki maboya andunje mpenda attention. Mi nakuchana tu we bwege.
Naendelea kula data hapa.Usichanganye madesa, mshindi wa pili kwenye ligi hakuwa na mashindano yoyote, ila tu mwaka 1993 Mashoud Abiola akiwa kwenye hatakati za kisiasa kuwania urais wa Nigeria, akawapanga CAF kuanzisha CAF Cup ambalo Simba alifika final akafungwa na Stella Abidjan 2-0 pale Shamba la Bibi kwa magoli ya Boli Zozo. Simba mwaka huo alikuwa wa pili kwenye ligi. Kombe la Washindi alienda Pamba ambae alikuwa mshindi wa FA cup, kipindi hicho ikiitwa Nyerere Cup na sasa ni Azam Confederation Cup. Hilo CAF Cup lilifutwa mwaka huo huo na baadae yakawa mawili tu Klabu Bingwa na Confederation Cup.
Yanga SC hufanya hivyo Kwetu Kiutani tu kama vile ambavyo hata Mimi GENTAMYCINE huwa napenda mno Kuwatania hapa JamiiForums.Sawa GENTAMYCINE. Ila unasemaje pia kitendo cha Yanga kubeza mafanikio ya Simba kwa misimu kadhaa nyuma: kufika robo fainali CAFCL na kupeleka timu 4 kimataifa kwa zaidi ya mara 2, jambo ambalo Yanga wamekufa wakikejeli sana?
Marumo Gallants alikuwa bingwa wa FA ya South Africa mkuu, kama ilivyotaka kutokea kwa COASTAL UNIONKombe la Shirikisho Ndio Hilo lilikuwa linaitwa la Washindi! Ambapo zamani hakukuwa na Makundi. Kwa hiyo kilichobadilika ni Jina na mfumo wa uendeshaji! Kumbuka awali aliyekuwa anashiriki ni Mshindi wa Pili, siku hizi zinashiriki hata Timu za Madara ya chini! Ndio maana Leo Kuna kina Marumo Galaxy ! + Loosers!
CAF CHAMPIONS LEAGUE = UEFA CHAMPIONS LEAGUEWewe ndio Una shida ndugu. Ligi yetu sasa hivi ina timu 16 ,inaitwa NBC premier League na iko chini ya TFF lakini hii hii ligi sio mara zote tangu kuanzishwa kwake ilikuwa na timu 16 na iliitwa NBC premier League na ilikuwa chini ya TFF.
Kwa hiyo timu inaposema imechukua ubingwa wa ligi mara 22 sio sahihi? Kwa hiyo timu iseme imechukua ubingwa mara 10 enzi za FAT mara 5 enzi za TFF , au iseme imechukua ubingwa mara 6 timu shiriki zikiwa 12 na mara Saba timu shiriki zikiwa 16?
Hapa unachanganya mashindano na nyakati, wakati unatumia modern format UEFA huku CAF unatumia ya zamani. Mind you hata huko Ulaya waliwahi kuwa na kombe la washindi. So kwa sasa there's no comparison to take from. Huku kwetu kimsingi kombe la Washindi alitakiwa aende FA cup winner ila aliweza kwenda league runners up.CAF CHAMPIONS LEAGUE = UEFA CHAMPIONS LEAGUE
CAF WINNERS CUP = UEFA EUROPA LEAGUE
CAF CUP = UEFA CONFERENCE LEAGUE.
Nimeiweka kwa urahisi ili upate kuelewa.
Jizime DATAHapa unachanganya mashindano na nyakati, wakati unatumia modern format UEFA huku CAF unatumia ya zamani. Mind you hata huko Ulaya waliwahi kuwa na kombe la washindi. So kwa sasa there's no comparison to take from. Huku kwetu kimsingi kombe la Washindi alitakiwa aende FA cup winner ila aliweza kwenda league runners up.
African cup winner's cup = caf confederation cupHapa unachanganya mashindano na nyakati, wakati unatumia modern format UEFA huku CAF unatumia ya zamani. Mind you hata huko Ulaya waliwahi kuwa na kombe la washindi. So kwa sasa there's no comparison to take from. Huku kwetu kimsingi kombe la Washindi alitakiwa aende FA cup winner ila aliweza kwenda league runners up.