Kuigawa Mbeya mjini na kuiacha Mbeya Vijijini ni uhuni wa Tume Huru ya Uchaguzi

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
18,875
Reaction score
29,427
Angalia ramani, hicho kidogo cha rangi ya kijani katikati ndiyo Mbeya Mjini. Na hiyo yellow ni ndiyo Mbeya Vijijini
Screenshot_20250325_083214_WhatsApp.jpg

Halafu Tume Huru ya Uchaguzi imefanya yafuatayo:-
IMG-20250324-WA0075.jpg
Yote haya ni KUMRIDHISHA Betina aendelee kuwa Mbunge na kisha Spika wa Bunge la JMT.

ANGALIA. MLINGANISHO:-
1) Mbeya Mjini:-
Km mraba : 252
Idadi watu: 649,000
Kata: 36
Mipaka: Mbarari, Rungwe, Chunya, Mbozi (Songwe Region), Ileje (Songwe Region)

Mbeya Vijijini:-
Km mraba: 2,813
Idadi watu : 2,000,000
Kata :28
Mipaka: Mbeya Vijijini, Mbeya Vijijini, Mbeya Vijijini

Kwa kweli naungana na CHADEMA katika kutetea sera ya majimbo kwenye Katiba Mpya. Hawa watu wakuja akina RC Homera na Mbunge Betina wamekuwa selfish sana kwenye suala hili. Ika iko siku historia ITAWAHUKUMU
 
Angalia ramani, hicho kidogo ndiyo Mbeya Mjini:-
View attachment 3282476
Halafu Tume Huru ya Uchaguzi imefanya yafuatayo:-
View attachment 3282477 Yote haya ni KUMRIDHISHA Betina aendelee kuwa Mbunge na kisha Spika wa Bunge la JMT.

ANGALIA. MLINGANISHO:-
1) Mbeya Mjini:-
Km mraba : 252
Idadi watu: 649,000
Kata: 36
Mipaka: Mbarari, Rungwe, Chunya, Mbozi (Songwe Region), Ileje (Songwe Region)

Mbeya Vijijini:-
Km mraba: 2,813
Idadi watu : 2,000,000
Kata :28
Mipaka: Mbeya Vijijini, Mbeya Vijijini, Mbeya Vijijini

Kwa kweli naungana na CHADEMA katika kutetea sera ya majimbo kwenye Katiba Mpya. Hawa watu wakuja akina RC Homera na Mbunge Berina wamekuwa selfish sana kwenye suala hili. Ika iko siku historia ITAWAHUKUMU
Kwenye idadi ya watu naona Mbeya vijijini inaingia mara tatu kwa idadi ya Mbeya mjini.

Mkiwa na halmashauri imara mimi sioni faida ya Wabunge Tanzania.
 
Walichofanya ni uhuni tu kumlinda Tulia anayemuogopa Sugu
 
Kwenye idadi ya watu naona Mbeya vijijini inaingia mara tatu kwa idadi ya Mbeya mjini.

Mkiwa na halmashauri imara mimi sioni faida ya Wabunge Tanzania.
Achana na halmashauri imara ni hamna umuhimu wao basi tu kuiga iga mambo.
 
Angalia ramani, hicho kidogo cha rangi ya kijani katikati ndiyo Mbeya Mjini. Na hiyo yellow ni ndiyo Mbeya Vijijini
View attachment 3282476
Halafu Tume Huru ya Uchaguzi imefanya yafuatayo:-
View attachment 3282477 Yote haya ni KUMRIDHISHA Betina aendelee kuwa Mbunge na kisha Spika wa Bunge la JMT.

ANGALIA. MLINGANISHO:-
1) Mbeya Mjini:-
Km mraba : 252
Idadi watu: 649,000
Kata: 36
Mipaka: Mbarari, Rungwe, Chunya, Mbozi (Songwe Region), Ileje (Songwe Region)

Mbeya Vijijini:-
Km mraba: 2,813
Idadi watu : 2,000,000
Kata :28
Mipaka: Mbeya Vijijini, Mbeya Vijijini, Mbeya Vijijini

Kwa kweli naungana na CHADEMA katika kutetea sera ya majimbo kwenye Katiba Mpya. Hawa watu wakuja akina RC Homera na Mbunge Berina wamekuwa selfish sana kwenye suala hili. Ika iko siku historia ITAWAHUKUMU
Nafikiri kuna haja ya kuanza kukaribisha mawazo mbadala pengine tubadilishe namna ya uwakilishi uwe wa kikanda (province) na vigenzo vya kupata hiyo nafasi viendane na wakati ili kuwa na wawakilishi wachache lakini wenye tija tofauti na hapo, takribani 1/3 ya bajeti inaweza kuishia kwenye kuendesha Bunge!
 
Angalia ramani, hicho kidogo cha rangi ya kijani katikati ndiyo Mbeya Mjini. Na hiyo yellow ni ndiyo Mbeya Vijijini
View attachment 3282476
Halafu Tume Huru ya Uchaguzi imefanya yafuatayo:-
View attachment 3282477 Yote haya ni KUMRIDHISHA Betina aendelee kuwa Mbunge na kisha Spika wa Bunge la JMT.

ANGALIA. MLINGANISHO:-
1) Mbeya Mjini:-
Km mraba : 252
Idadi watu: 649,000
Kata: 36
Mipaka: Mbarari, Rungwe, Chunya, Mbozi (Songwe Region), Ileje (Songwe Region)

Mbeya Vijijini:-
Km mraba: 2,813
Idadi watu : 2,000,000
Kata :28
Mipaka: Mbeya Vijijini, Mbeya Vijijini, Mbeya Vijijini

Kwa kweli naungana na CHADEMA katika kutetea sera ya majimbo kwenye Katiba Mpya. Hawa watu wakuja akina RC Homera na Mbunge Berina wamekuwa selfish sana kwenye suala hili. Ika iko siku historia ITAWAHUKUMU
Turudi hapa tena
 
Back
Top Bottom