PreGE2025 Kuihoji CHADEMA kuhusu No reforms No election ni Akili ndogo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Wakati mwingine kwenye hii nchi watu wanaoongoza kufanya vituko vinavyokataliwa kimantiki na Sheria ni wanasheria, tena wanasheria wabobevu.

Sasa msajili wa vyama vya siasa kuwaita CHADEMA kuwahoji kuhusu kauli mbiu Yao ya No reforms No Election siyo matumizi mabaya ya muda kweli?

Soma Pia: Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa:
Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Hapo ni kitu gani huyo msajili wa vyama vya siasa ambaye ni mwanasheria mwenye wadhifa wa ujaji asichokielewa?
 
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Usichokijua.
Ccm inateswa sana na hii kauli mbiu ya Chadema.

Watu hawalali wanajadili kila wakati.

Msione nje wanainanga hii kauli lkn inawatesa mnoo
 
Wakati mwingine kwenye hii nchi watu wanaoongoza kufanya vituko vinavyokataliwa kimantiki na Sheria ni wanasheria, tena wanasheria wabobevu.

Sasa msajili wa vyama vya siasa kuwaita CHADEMA kuwahoji kuhusu kauli mbiu Yao ya No reforms No Election siyo matumizi mabaya ya muda kweli?

Soma Pia: Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Hapo ni kitu gani huyo msajili wa vyama vya siasa ambaye ni mwanasheria mwenye wadhifa wa ujaji asichokielewa?
hivi kuna manufaa gani chadema inapata kwa kujitenga au kususia michakato ya kidemokrasi tangu 2014 iliposusa bunge la katiba?

eti gentleman akili kubwa, unaweza kuelezea wadau wa JF kwa kifup na bila mihemko?🐒
 
calm down gentleman,

elezea tu faida ya hiyo kitu kwa faida ya wadau, na huenda wakaungana nawe,

usiogope na usiwe na ghadhabu, just mention faida mbili tu na itapendeza zaid 🐒
Wassira ndiye anayejua faida ya No reforms No Election na ndiyo maana kachachawa.
 
hivi kuna manufaa gani chadema inapata kwa kujitenga au kususia michakato ya kidemokrasi tangu 2014 iliposusa bunge la katiba?

eti gentleman akili kubwa, unaweza kuelezea wadau wa JF kwa kifup na bila mihemko?🐒
Si kila mtu ataendelea kuwa kondoo wa kuburuzwa na chama kilichopitwa na wakati. Hakuna kitu muhimu cha kuheshimu kama mahitaji ya nyakati. Huu si wakati wa ccm kuendelea kuwa madarakani.
 
calm down gentleman,

elezea tu faida ya hiyo kitu kwa faida ya wadau, na huenda wakaungana nawe,

usiogope na usiwe na ghadhabu, just mention faida mbili tu na itapendeza zaid 🐒
Kama hakuna mabadiliko, hakina uchaguzi. Hapo usichoelewa ni nini!? Kama wasimamizi wa uchaguzi uchwara wanaweza kukata majina ya wagombea wa upinzani ili wabakie wagombea wa ccm, hapo kuna uchaguzi!?

Maana yake mnalazimisha wagombea wa ccm wapite bila kupingwa. Yaani mwananchi ananyimwa haki yake ya kuchagua kiongozi amtakaye. Jiulize Majaliwa anakuwaje mbunge bila kupigiwa kura hata moja!? Hapo hakuna uchaguzi.

Kama polisi uchwara wa ccm wanaingiza maboksi yaliyokwisha pigwa kura vituoni , hapo ina maana hakuna uchaguzi halali uliofanyika.

Kwa hiyo bila mabadiliko yatakatoondoa huu ungese ungese wa ccm wa kiuba kura na faulo nyingine za kiwendawazimu wazimu, hapo Uchaguzi Hakuna. Ni Uchafuzi tu.
 
Wakati mwingine kwenye hii nchi watu wanaoongoza kufanya vituko vinavyokataliwa kimantiki na Sheria ni wanasheria, tena wanasheria wabobevu.

Sasa msajili wa vyama vya siasa kuwaita CHADEMA kuwahoji kuhusu kauli mbiu Yao ya No reforms No Election siyo matumizi mabaya ya muda kweli?

Soma Pia: Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa:
Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Hapo ni kitu gani huyo msajili wa vyama vya siasa ambaye ni mwanasheria mwenye wadhifa wa ujaji asichokielewa?
Msajili achunge sana watanzania sio wajinga , leo kipo chama cha ukombozi wa Taifa hili kwa mara ya pili ,that's chama cha awali cha ukombozi(ccm ) kimechanganyikiwa chini Ya makam Mwenyekiti wake ( mzee Wasira) na wazee wengine kama mzee Lukuvi.

Dira ya nchi kwa sasa ipo mikononi mwa chadema ila ccm ipo kwa sababu kwa sasa ipo madarakani.Msajiri akumbuke kuwa watz kwa sasa wanajambo lao la no reforms no election.

Hakuna danganya toto tena.

Sasa wasemao hii ni ndoto wajue wakingia kwenye uchaguzi ni batili ,wakijitangaza ni batili pia chadema wamekabia juu sana, zamani ilikua ni kauli ya kutoutambua uchaguzi baada ya kuibiwa sasa ni kwamba no reforms no election ,ccm chini ya mzee Wasira inataka kuleta ubabe twende tuone asema Bwana .
 
hivi kuna manufaa gani chadema inapata kwa kujitenga au kususia michakato ya kidemokrasi tangu 2014 iliposusa bunge la katiba?

eti gentleman akili kubwa, unaweza kuelezea wadau wa JF kwa kifup na bila mihemko?🐒
Kwa hii katiba chadema hawawezi shinda uchaguzi au hizi kanuni. Ni mama mitano tena. Wasipoteze muda kushiriki
 
Yaliyotokea mwaka 2019, 2020 na 2024 yamewagutua CHADEMA kuwa uhuni wa CCM kwenye chaguzi Sasa umekomaa kiasi kwamba umekuwa ni uhalifu uliohalalishwa kimfumo.

Sasa hivi CCM hawaibi tena kura, bali wanauiba uchaguzi mzima. Hivyo No reforms No election.
 
Daaah....hapo mnakaba sana. Sisi tunataka mshiriki hata kidogo mhalalishe hili jambo.
 
Huyu msajili anaweza kuyatumia vibaya madaraka yake na kuamua kuifutia usajili Chadema.

Nasema uwongo ndugu zangu? (in Jiwe's voice).
CHADEMA hawataki kushiriki uchaguzi... CCM wameanza kuchanganyikiwa, unadhani wana udhubutu wa kufuta chama
 
Si kila mtu ataendelea kuwa kondoo wa kuburuzwa na chama kilichopitwa na wakati. Hakuna kitu muhimu cha kuheshimu kama mahitaji ya nyakati. Huu si wakati wa ccm kuendelea kuwa madarakani.
kama umeburuzwa na vibaka wa siasa kuchangishwa pesa kitapeli ambayo ilitosha kabisa kununua nguo za watoto wako,

matapeli hao wa siasa watashindwa kukurubuni haki na uhuru wako wa kupiga kura kweli gentleman?

na ulivyo na mihemko, si wanaweza hata kukushakahola kama Makenzie alivyowashakahola waamini wake?🐒
 
Back
Top Bottom