PreGE2025 Kuihoji CHADEMA kuhusu No reforms No election ni Akili ndogo

PreGE2025 Kuihoji CHADEMA kuhusu No reforms No election ni Akili ndogo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wameenda kumwona warioba na mtei mwasisi wa CHAMA
Wameenda kutoa msimamo wao kwa msajiri wa vya vyama vya siasa.
Wameenda zanzibar
Wameenda ubalozi wa Marekani
Sugu amenda USA Kutafuta ufadhili
Wameenda kukutana na gwiji wa siasa za kenya Laila ondinga leo ,
Leo viongozi wa mkoa wa mara wameenda kwa kanisa la katoriki, kuelekea "No reforms No election"
Safi sana!
 
Wakati mwingine kwenye hii nchi watu wanaoongoza kufanya vituko vinavyokataliwa kimantiki na Sheria ni wanasheria, tena wanasheria wabobevu.

Sasa msajili wa vyama vya siasa kuwaita CHADEMA kuwahoji kuhusu kauli mbiu Yao ya No reforms No Election siyo matumizi mabaya ya muda kweli?

Soma Pia: Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025


Hapo ni kitu gani huyo msajili wa vyama vya siasa ambaye ni mwanasheria mwenye wadhifa wa ujaji asichokielewa?
Msajili ana udumavu wa akili.Believe it or don't!
 
Back
Top Bottom